Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.
Natumai wote wazima.
Huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka
Mwezi ambao unapilika nyingi sana za kumalizia dk za mwisho.
Kuna makabila mengi sana yanayopenda kuumalizia mwezi huu kwa kwenda makwao yaani sehemu walikozaliwa.
Nitazungumzia Wachagga sababu mi mwenyewe natokea huko.
Sababu za kwenda...
Habari,
Naomba kufahamu vitu binafsi ambavyo porter anapaswa kuvibeba katika safari yake ya kuwapandisha wageni mlima Kilimanjaro.?
nimeuliza kwa maana nahitaji kuwa porter.
Shukrani.
Kijana mwenye ulemavu wa miguu, Melchedek Lyimo (28), amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi na mama yake mzazi kuteketea kwa moto uliowashwa na mama yake ili kuua siafu.
Tukio hilo ambalo limeacha simanzi na majonzi makubwa katika Kijiji cha Kyou wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro...
SERIKALI KUFUTA USHIRIKA WA G32 NI NJIA SAHIHI YA KUFUFUA USHIRIKA WA KNCU MKOANI KILIMANJARO?
Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku naomba niwaletee yanayojiri Mkoani kwangu kuhusu masuala ya Ushirika ambao ilikuwa na mchango mkubwa sana wa kiuchumi wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Hivi karibuni...
Afisa Elimu Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amelipa posho Tsh. 120,000 kuanzia tar 8/12/2020 na kuendelea hujaweka wazi kama ndio posho yote ya kusimamia mtihani au la, hujaweka wazi ni Tsh. ngapi watalipwa kwa siku wengine mwisho wa kusimamia ni Ijumaa kesho ikiwa tayari wamekaa siku 9...
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho.
Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9. Walioshinda katika hayo majimbo ambayo ni...
Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga.
Hata baada ya hila za kila aina dhidi yake na wagombea wa CHADEMA...
Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga.
Kama kawaida yetu...
Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia CHADEMA jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM.
Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama.
Wakazi wa Kaskazini wameamua...
Nilidhani wakati huu wa uchaguzi wapiga kura ni WAFALME.
Kitendo cha Magufuli kupiga magoti na kuwaomba Wanambeya kura kilionyesha unyenyekevu na heshima kwa wapiga kura.
Wagombea lukuki wa CCM wamekuwa wakijishusha na kupiga magoti kuomba kura. Nadhani ni utaratibu mzuri.
Nimeshangazwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli anazindua kiwanda cha bidhaa za ngozi kilichopo mkoani Kilimanjaro. Rais ameshafika na kwa sasa ni wimbo wa Taifa kabla ya kuanza shughuli Rasmi. Kuwa nami.
======
TAARIFA FUPI YA MRADI
Mkurugenzi PSSF: Ujenzi wa mradi huu ni utekelezaji...
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.
Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa...
Ndugu zanguni naombeni msaada mnijuze TAESA kwa Kilimanjaro kama ipo na iko maeneo gani na mimi niende nikapeleke huko vyeti huku mambo mengine ya kupambana kutafuta ajira sehemu mbalimbali yakiendelea.
Na Thadei Ole Mushi.
Watu wa Kilimanjaro sio wajinga kiasi hicho, watamchagua Rais Magufuli kwa Kura nyingi Sana kuliko wagombea wengine wa uraisi. Twende sawa na agenda zetu....
1. Kilimanjaro ina makabila mawili makubwa, Wachaga na wapare. Kwa silka ya makabila haya yapo profit oriented...
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia...
Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.
Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea...
ASKOFU AFIKISHA SAUTI YA HAKI KILIMANJARO
Tarehe 19 Oktoba 2020. Nikiwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe (Mwenyekiti CHADEMA), Mheshimiwa Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA), na Mheshimiwa Seif Sharif Hamad (Mgombea Urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo).
Ninaendelea na 'Missio...
Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa kufanya mapokezi ya kufuru kwa Mgombea huyo ambaye tathmini zote zinaonyesha atapata ushindi wa zaidi...
Vyombo vya Dola wilayani Hai vimefanikiwa kukamatwa kwa watu watatu kwa tuhuma za kuchoma moto bweni la kulia chakula la wanafunzi wa Madrasa lililopo ndani ya Msikiti wilayani Humo mkoani Kilimanjaro.
Bweni hilo liliungua kwa moto siku mbili zilizopita Ikiwa ni tukio la pili baada ya mabweni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.