Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.
Washindi wote 40 wa Mbio za Kilimanjaro Marathon hawajalipwa fedha zao hadi leo.
Washindi hao ni wa Kilomita 42 na Kilomita 21 ambao ni kumi bora kwa Wanawake na Wanaume.
Wanariadha wamewasiliana na Race Director, John Bayo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa RT bila majibu ya kuridhisha...
Afisa Elimu wa Mkoa Kilimanjaro, Paulina Mkwama amesema watakaopata chini ya Division 3 wajiandae kushtakiwa kwa uhujumi Uchumi.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Umbwe walipokuwa katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Gerald Mweri...
ECONOMY
New Sh346 million air traffic control system to boost JKIA safety
WEDNESDAY MARCH 10 2021
Terminal 1A at Jomo Kenyatta International Airport. FILE PHOTO | NMG
The Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) will install a new Sh346 million air traffic control system at the Jomo Kenyatta...
Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua.
Mkusanyiko wa mahali hapo ulikuwa ni mkubwa kiasi kwamba kaa kuna wstu wana virusi...
Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.
Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
Mkoa wa Kilimanjaro eneo la Siha, Nzige wa Jangwani wamevamia. Si mchezo ni wengi balaa.
-----+
Kundi la Nzige waharibifu wa jangwani limeingia wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania na kuibua hofu ya uharibifu wa mazao ya chakula.
Wilaya hiyo inazalisha mazao mbali mbali ya...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema misiba mingi iliyopo mkoani humo inatoka maeneo mengine na si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Amesema Mkoa huo upo salama na kuwataka wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa...
Wenyeji 60 wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamekamatwa na madumu yenye pombe haramu aina ya gongo na mitambo ya kutengenezea pombe hiyo.
Kamanda wa polisi wilayani Rombo amesema msako mkali unaendelea katika harakati za kukomesha uhalifu huo.
Chanzo: ITV habari
My take; Wenyeji wa Rombo...
Katika mkoa wenye vivutio vingi vya kitalii basi ni mkoa wa Kilimanjaro.
Hii inatokana na uwepo wa mlima,ukiachilia mbali mlima huu kuwa kivutio,kuna mito inayotoka mlimani inayoteremka na baadae kuwa mto mmoja yani mto Pangani ambao unamwaga maji yake kwenye bahari ya Hindi.
Uwepo wa mito...
Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!
Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine.
Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa.
Geita na...
UTANGULIZI
Kama nilivyoahidi hapa JF siku chache zilizopita kuwa nitakuja na ripoti kamili ya ziara yangu ya kutembea na kujifunza mkoani Kilimanjaro katika jamii ya kabila la Wachaga wakati wa kwenda kusheherekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Kila kitu kwa ufupi na ufasaha nitakiweka hapa...
Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na mikoa mingine ili muwe na hasira ya ku hustle zaidi.
Oneni maendeleo ya makazi ya Kilimanjaro sio kwamba ni serikali imefanya! Ni nguvu za watu,ndio mana hakuna mchaga anaerudi kwao kizembe lazma awe na chochote kitu bila hivyo ni aibu. Sasa ili kutoa...
Hii nadhani jamii nyingine pia wangeiga. Isiwe tu ni sisi wachaga ndo wakusafiri mwezi wa 12.
Iko hivi uchumi wa nchi au sehemu yoyote unakuwa driven sana sana na expenditure.
Watu wasipofanya spending, uchumi hauwezi kukua kamwe. Na nadhani hii ndio inafanya hata maeneo ya jamii nyingi za...
Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
MLIMA KILIMANJARO KAMA ULIVYOSANIFIWA KATIKA KITABU ''RAJABU IBRAHIM KIRAMA JEMADARI WA VITA KUWA JEMADARI WA UISLAM''
''Mlima Kilimanjaro unaonekana muda wote; ikiwa hakuna mawingu; tokea Moshi.
Huu ni mfano wa alama ya kueleza kuwa chini ya mlima ndiyo nchi ya Wachagga.
Mlima Kilimanjaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.