Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema kuwa ukaguzi wa anga uliofanywa leo asubuhi katika Mlima Kilimanjaro umebaini kuwa moto wote umedhibitiwa lakini vikosi vya askari vimetawanywa kwa ajili ya tahadhari.
Moto huo uliozuka Oktoba 11 mwaka huu umeathiri eneo la kilomita za...
#SEHEMU YA KWANZA Naleta full documentary nilivyo husika kwenye janga la moto mlima kilimanjaro
Kwanza Mimi nilishapitia mafunzo magumu ya jeshi 843Kj nadhani hii pia ilichangia kuepuka kifo.
Stori inaanza asubuhi 13/10/2020 nilivyofika Marangu mtoni sehemu...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?
Sijataka kuongelea kuhusu Kenya kwa maana wadau wataanza...
Serikali ya Tanzania inatazamiwa kutuma helikopta na ndege katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania kujaribu kuuzima moto unaendelea kuwaka kwa siku ya saba sasa.
Hayo ameyasema Waziri wa utalii nchini humo Dkt Hamis Kigwangala baada ya moto kuendelea kuwaka katika mlima huo.
Jana Waziri...
TANAPA ni shirika kubwa sana linakusanya pesa nyingi kupitia Mlima Kilimanjaro ila cha ajabu ni kwamba, waliokwenda kuzima moto mlimani ni waliambiwa wawe watu wa kujitolea ambao walikusanywa Mgambo wa Kilimanjaro na Arusha hawa ni miongoni mwa waliokwenda kusaidiana na wengine kuuzima moto...
Utalii ni sehemu mojawapo inayoingizia mapato nchi yetu na sekta hii ikiwa imetia ajira nyingi kwa watanzania na kuruhusu wageni wengi kuja na kuwekeza mamilioni ya fedha hapa nchini, hali inayofanya mapato kupitia sekta hii kuwa imara kutokana na mambo mbalimbali.
Mpaka ninapoandikaada hii ni...
Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro.
Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
Nilikuwa nafuatilia habari za BBC London katika television. Cha kushangaza habari ya mlima Kilimanjaro na harakati za nchi kuzima moto katika mlima huo mkubwa barani Afrika ameripoti mwandishi Emmanuel Igunza kutoka nchini Kenya. Nimejiuliza sana kwa nini habari za Tanzania aripoti mwandishi...
Kuanzia majira ya saa 12 jioni ya Leo maeneo ya msitu wa mlima Kilimanjaro umeonekana ukiwa na ishara ya kuwaka moto kutoka sehemu ya upande wa mashariki ukiwa unatizama mlima kutokea Moshi Mjini, hivyo kuonekana ukubwa wa moto kuongezeka kadri muda unavyozidi kwenda, inaonekana eneo...
Sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro inaungua moto muda huu.
Habari kamili itakuja
Source ITV habari!
====
Wazima moto nchini Tanzania wanapambana kujaribu kuudhibiti moto unaouteketeza mlima mrefu zaidi barani Afrika, mlima Kilimanjaro. Kulingana na shirika la mbuga za kitaifa Tanzania...
Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni...
Alichokifanya Ole Sabaya Mkuu wa WIlaya ya Hai ni kumdhibiti OCD ndio maana Kwa sasa ukiona anayoyafanya OCD wa Hai, Mkuu wa WIlaya, Ole Sabaya yuko nyuma yake. Huyu OCD anahojiwa na Tume kuhusiana na tukio la kujibu masuala ya Uchaguzi, isitoshe kuna suala la kumrushia mawe Mgombea Urais...
Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama.
Kinyang'anyiro hiki ambacho...
Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema, Tundu Lissu anasema leo atakuwa na ratiba ya kampeni mkoani Kilimanjaro na baada ya hapo watakuwa na mapumziko mafupi hadi Oktoba 4 wataendelea tena.
Maendeleo hayana vyama.
===
Leo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya.
Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia ameelezea walishaanza na wamejitahidi kutoa huduma za bure kwa wazee, watoto wenye umri chini ya miaka...
EWURA imeagiza wasambazaji wote wa bidhaa za petroli mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanza kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine.
Atakayekiuka agizo hilo atatozwa faini TZS Milioni 100 au kifungo kisichopungua miaka 10, au vyote.
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria...
Major Airlines Increase Flight Trips to Dar
Credit: Edward Q Orro in Arusha
TANZANIA'S resilience to the novel Coronavirus disease is now paying off after three major airlines increased their flight frequencies to the country. Ethiopian Airlines becomes the first among the three, to increase...
Habarini wanajukwaa
Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini.
Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.