Porter/ wapagazi wa Mlima Kilimanjaro wanapaswa kuwa na nini wakati wa kuwapandisha wageni mlimani?

babuumzuri

Member
Sep 18, 2020
11
5
Habari,

Naomba kufahamu vitu binafsi ambavyo porter anapaswa kuvibeba katika safari yake ya kuwapandisha wageni mlima Kilimanjaro.?

nimeuliza kwa maana nahitaji kuwa porter.

Shukrani.
 
Cha kwanza uwe na Afya bora siyo mara unakohoa ooh Sijui una pumu mara Ngiri,hapo tunakuacha Babuu
 
Begi maalumu la kuweka vitu vyako Kama matress, sleeping bag,neglen,raincoat,skin tight,tochi ndogo,miwani ya jua,mafuta ya kujipaka, toilet paper,sahani kijiko ,kikombe,tisheti mbili.

Viatu maalumu vya kupandia mlima pair moja hapa huvaliwa mwanzo mpaka unarudi,pia humo kweny bagi usisahau glue cose, package lunch jamii ya bites.
 
Back
Top Bottom