Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia CHADEMA jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM.

Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama.

Wakazi wa Kaskazini wameamua kuachana na siasa za kiuwanaharakati kwani haziwasaidii na badala yake zimepunguza fursa za kimaendeleo.

Ishara ya kuinua Masale kuanzia Moshi, Hai, USA, Arusha jiji n.k ni ishara ya mapatano.
 
Wapi, hakuna kitu yaani wakati ambapo waliokuwa nyuma wameshtuka na kufuata mwanga wajanja ndio warudi gizani?

Hiyo itakuwa kituko cha karne, walikataa giza kitambo leo hawawezi kurudi wakati sasa ni giza totoro na nuru ya mwanga waliko sasa imeongezeka. Hawawezi kurudi gizani walikotoka, ni mbele kwa mbele tu mpaka kieleweke, bado kitambo kifupi lengo litimie
 
Upepo wa lowassa 2015 umerudi CCM
 
Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia Chadema jambo lilooelekea kura ya hasira dhidi ya CCM.

Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama.

Wakazi wa kaskazini wameamua kuachana na siasa za kiuwanaharakati kwani haziwasaidii na badala yake zimepunguza fursa za kimaendeleo.

Ishara ya kuinua Masale kuanzia Moshi,Hai,Usa,Arusha jiji n.k ni ishara ya mapatano .
Jidanganyeni tuuu
 
Hakuna kitu kama hicho, Wanaoipigia kura CHADEMA hawana muda wa kujadili hayo, wanajua tu jumatano wanamrusisha magufuli na chama chake kupumzika chato. Rais mpya wa Tanzania atachukua hatamu mapema wiki ijayo, Dunia nzima itageuzia mitambo yote tanzania pale Nguli huyo wa siasa atapokua anakabidhiwa nchi kwa sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom