kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. King Loto

    JamiiForums Kwa Kijana yeyote mwenye uhitaji wa kazi hii tafadhali nicheki

    Okay Kwema Wakuu Mi ninacho amini hali zetu haziko sawa katika haya maisha na wapo tuliotoka familia duni au tunaishi kwa rafiki au hata ndugu kwa masimango na manyanyaso makubwa. Mbali zaidi wapo wanaotakwa Kingono ili wapewe kazi kwa hawa kina dada zetu na kina kaka siku hizi japo kwa uchache...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Hayati Magufuli alikuwa amkimheshimu sana John Mnyika akimuona ni kijana smart sana

    Toka Mnyika ni Mbunge wakati huo JPM alikuw Wizara ya Ujenzi. Mara nyingi alipenda kuongea na Mnyika akiwa Mbunge na kuchukua hoja zake kuzifanyia kazi. Magufuli aligundua kuwa Mnyika alikuwa na uchungu hasa wa maendeleo ya watanzania. Na hili lilimfanya mara nyingi atamani Mnyika aje CCM. CDM...
  3. A

    JamiiForums Kijana pambania ndoto yako, achana na maneno ya kukera

    Vijana mnaoanza maisha hakikisha ndoto yako inatimia mapema iwezekanavyo. Hawa wenza wetu wengi wamejaa maneno ya kukera na kukatisha tamaa sana. Niliwahi kupata demu yeye hataki nifanye mishe za kuingiza pesa (biashara) eti kwa sababu nakutana na wanawake.
  4. S

    JamiiForums Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  5. Linguistic

    JamiiForums Elimu ya Tanzania haimkomboi kijana zaidi ya kuendeleza ujinga

    HIZI NDIZO SABABU KUU MBILI ZINAZO SABABISHA UMASIKINI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA 1: UDHAIFU WA ELIMU YETU Elimu yetu haijitosherezi wala haiendani na dunia tuliyo nayo leo tofauti na mataifa mengine kama Uingereza, Marekani, Canada n.k Mfano mwanafunzi Alie Soma kombi ya HGK/HGL/HKL kwa...
  6. The Dictator

    JamiiForums Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...
  7. N

    JamiiForums Ushauri wenu juu ya kozi hii ya kijana wangu!

    Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma. Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake. Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
  8. Madumbikaya

    JamiiForums TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru. Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao wanashikiliwa na Takukuru, Tuhuma zao nyingi ni za jinai. Kila siku Uchunguzi unavyoendelea ndio mambo...
  9. Miyeyusho

    JamiiForums Panapo kipato hakuna mwanamke mwenye dharau

    MWAKA 2019 JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana. Ila sasa naona kawa kweli na maamuzi yake, wiki sasa kila nikimbembeleza ananiambia hanitaki. MIMI...
  10. Corticopontine

    JamiiForums Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  11. K

    JamiiForums Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

    Wadau naomba ushauri, kuna kijana wangu kapata division 3 yenye flat c tano za HGL, HGK atc lakini kachaguliwa kwenda Chuo cha Utumishi wa Umma cha Records Management-SINGIDA. Mnaushauri gani juu ya hii kozi- Fursa na mengineyo.
  12. Cards Fantasy

    JamiiForums Natafuta binti na kijana wa kiume tusaidiane kazi za Mgahawa

    UPDATE:- Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu. Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa. Shukran Sana.
  13. ommytk

    JamiiForums Watanzania tumpigie kura Diamond kijana wetu

    Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení. Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao...
  14. Ugumu wangu

    JamiiForums Gari hii inafaa?

    Naomba wataalam mje hapa uimara wake uko vipi na mapungufu ya hii gani na vipi road Ina balance hata ukiwa kwa mwendo mkubwa?
  15. MK254

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Kijana wa kike, mzalendo anayesimamia ukarabat wa reli kilomita 217

    Duh! Akina dada wamechoka kutumiwa na za kutolea, wameamua kuongoza shughuli kwa mbele Eng. Veronica Nyambura (right) with Rift Valley Commander George Natembeya (cemter) on Monday, March 21, 2021. TWITTER For years, the engineering industry was considered a preserve for the male gender but...
  16. A

    JamiiForums Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  17. B

    JamiiForums Kijana amuua mama wa kambo akidai amemroga. Umasikini ni mbaya kuliko Corona

    IN SUMMARY Grace Chacha (67), mkazi wa kijiji cha Guta Wilaya ya Bunda mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga na mwanaye wa kambo, Matiku Chacha akidaiwa ni mchawi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Daniel Shillah amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akiahidi kutoa taarifa...
  18. S

    JamiiForums Una kijana asiyechagua kazi? Mlete hapa apate kujishughulisha

    Habari zenu wana JF Wanahitajika vijana wawili wa kiume wachapa kazi hodari na waaminifu wakazi wa Dsm. Umri usizidi miaka 25. Lakini pia hata akipatikana wa kike sio mbaya kama atashirikiana na wa kiume jumla yake wapatikane wawili tu. Kuna kijiwe changu cha kuuzia Ashua (mbupu za Ng'ombe...
  19. MK254

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Mkenya atengeneza vazi linaloweza kuchaji simu

    Vazi lenyewe linatumia nishati ya jua kuchaji simu, hongereni sana vijana, mnakokwenda kunafaa...... Ruuj Caflon a University of Nairobi (UoN) graduate is the founder of Caflon design, a company that designs clothes that can charge phones and produce lights. He was taking an electrical...
  20. The Dictator

    JamiiForums Leo nimepata wasaa wa kusikiliza na kuangalia wimbo mpya wa kijana Harmonize

    Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
Back
Top Bottom