Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,727
10,023
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati.

Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi.

Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa anafamilia lakini ni wazi na uwazi usiofichika hapa mtaani jamaa anamla mama yake wa kumzaa.

Na isitoshe kijana wa kiume anawezaje kumshika na kushikanashikana makalio na mama yake hadharani nje kila mtu anapita anawaona? Hii ni laana.

Na inasikitisha kwa kweli.
 
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati.

Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo
Uliwaona wakilana mkuu, au ndo unahisi? Muache kijana wa watu ajizolee laana hizo kutoka kwa muumba. Huna haja ya kushaanga mkuu, Kitabu cha Kutoka katika biblia kimekataza haya mambo but no way
 
uliwaona wakilana mkuu, au ndo unahisi?? Muache kijana wa watu ajizolee laana hizo kutoka kwa muumba.Huna haja ya kushaanga mkuu, Kitabu cha Kutoka katika biblia kimekataza haya mambo but no way
Dunia ya leo hakuna siri mkuu.
 
Dunia ya leo hakuna siri mkuu.
Biblia ilishatuambia wazi kuhusu haya mambo tuwe makini sana, lakini pia nafikiri hata malezi.Huyo jamaa itakuwa kalelewa kizungu sana na kachelewa kutoka kulala chumba cha wazazi wake.
 
Jumapili iliyopita kipindi cha Njia panda cha isaack Maro kuna Mtoto alikuwa anatembea na baba yake mpaka akampa mimba alikuwa anaelezea hiyo story,ametembea na dingi yake kwa mwaka mzima alianza akiwa na miaka 16,baba yake kafungwa maisha tangu mwaka jana.

Ila yeye alisema baba yake alifanya hivyo kwa ajili ya ndagu(kafara0 mambo ya ushirikina ili apate pesa....Sasa kwahuyo msela inawezekana na yeye anafanya ili wapate pesa maana kikawida mtu na mke why aende kwa mother wake?
 
Haya mambo yalianzia kwa waganga kama sharti eti la kufanikiwa ama kuondoa mikosi kwenye familia, lakini sasa limekuwa kama fasheni na kama kuna watu wanabanjuana siku hizi ni watoto na wazazi wao

Wababa na mabinti zao

Wamama na vijana wao wa kiume.
 
Biblia ilishatuambia wazi kuhusu haya mambo tuwe makini sana, lakini pia nafikiri hata malezi.Huyo jamaa itakuwa kalelewa kizungu sana na kachelewa kutoka kulala chumba cha wazazi wake.
Daah kweli aisee
 
Umechunguza kwa juu juu, asilimia kubwa mikasa kama hii inahusiana na ndumba

Huku kuna jamaa kafiliska baada ya mama yake kuaga dunia inasemekana na yeye mchezo wake ni huo
 
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati.

Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo shule ya msingi.

Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa anafamilia lakini ni wazi na uwazi usiofichika hapa mtaani jamaa anamla mama yake wa kumzaa.

Na isitoshe kijana wa kiume anawezaje kumshika na kushikanashikana makalio na mama yake hadharani nje kila mtu anapita anawaona? Hii ni laana.

Na inasikitisha kwa kweli.
Hiyo haiwezakani, ñaona hayo nimaneno ya uswahilini, hata mvuta bagi hawezi kifanya hilo......
 
Yawezekana mnadhania tu na ukweli uko tofaut na unayoongea, yawezekana wamepiga picha kamshika kiuno mkahis tofaut, yawezekana kamshika bila kuwa na mawazo ya kimapenz mkahis tofaut, enzi niko mtaa flan hv Dsm Mabibo enz za for4 kuna watu mtaani walikuwa wakihis nina ngoma maana dem mkali mtaani kipindi iko lina shep nene lilikuwa mpnz wng japo watu wakawa wana fununu kuna mzee kicheche mwenye ngoma kampitia, ila ukweli ulivyo ni tofaut na watu wadhaniavyo
 
Back
Top Bottom