Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Wadau naomba ushauri, kuna kijana wangu kapata division 3 yenye flat c tano za HGL, HGK atc lakini kachaguliwa kwenda Chuo cha Utumishi wa Umma cha Records Management-SINGIDA.

Mnaushauri gani juu ya hii kozi- Fursa na mengineyo.
 
Bora wewe mkuu dogo apa na 3 ya kwanza, katupiwa chuo TPSC Tanga course secretarial na ni wa kiume.
 
Bora wewe mkuu dogo apa na 3 ya kwanza, katupiwa chuo TPSC Tanga course secretarial na ni wa kiume.
Sasa Hapo Mkuu Ubora Ni Upi?
Nijuavyo Miye Kile Cha Dar es Salaam
Kina Matawi Mtwara,Tanga,Singida,Tabora
Chuo Cha Utumishi

Ninaye Ndugu Alisoma Hiyo Record Management
Diploma Mtwara Akamalizia Singida Mambo Ni Magumu Mpaka Sasa Hivi Yupo Huko
 
Alitaka asome nini na hizo HGK Na HGL

Yeye mwenyewe akwambie ukishapata majibu basi mfanikishieni dhamira yake
 
Sasa Hapo Mkuu Ubora Ni Upi?
Nijuavyo Miye Kile Cha Dar es Salaam
Kina Matawi Mtwara,Tanga,Singida,Tabora
Chuo Cha Utumishi

Ninaye Ndugu Alisoma Hiyo Record Management
Diploma Mtwara Akamalizia Singida Mambo Ni Magumu Mpaka Sasa Hivi Yupo Huko
Mimi nilisoma mtwara, kozi ya record ilikuwa na wanafunzi wengi kutokana na urahisi wake.

Akisoma iyo anaenda kuwa mtunza kumbukumbuku masijala za ofisi mbalimbali pia ni ngumu kupata course chuo kikuu
 
Wewe Ni Msemakweli!!
 
Je, unaweza kujajili kwa kwa kipi kwa course kama hii
 
Kwa dunia ya sasa kama huna vipaji hivi vya UBUNIFU,KUJIPENDEKEZA,UCHANGAMFU,UTHUBUTU,KUJITOA,AKILI NYINGI na vingine vingi kama hivi na umefaulu masomo ya art pekee basi ni heri ukaishia form four na ukafanya ujasiriamali tu.
 
Kwa ushauri wangu aachane na hiyo kozi akasome Advance five na six aje chuo Cha taifa Cha usafirishaji Kuna kozi mpya na zipo marketable . shipping operational na road and a railway in logistic and Transport Operation ndo zimaenza mwaka2020.hkl,hgk,cbg NK wanasoma hiyo kozi Mimi nipo mwaka wa kwanza hapa na Nina Soma road and railway degree apa .na enjoy inshort hizo kozi nyengne hazina mashiko kwasasa.sasa kutunza kumbukumbu.si hata computer inatunza.
 
Mimi nilisoma mtwara, kozi ya record ilikuwa na wanafunzi wengi kutokana na urahisi wake.

Akisoma iyo anaenda kuwa mtunza kumbukumbuku masijala za ofisi mbalimbali pia ni ngumu kupata course

UDSM, SUA na TURDCO wanatoa Degree ya Record kwa sasa
 
Back
Top Bottom