kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia" Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha...
  2. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Kijana akoswakoswa kuchomwa kisu na mwenzie kisa mwanamke

    Katika Hali ya kustajabisha tar 31 Dec 2021, mitaa ya Kimara Mavurunza, kijana mwenye genge la nyanya, tikiti,nanasi etc. Alivamiwa kijana mwingine mwenye hasira huku akifoka na kumwambia mara ngapi nimekuonya hutaki kusikia, basi jamaa akachukua kisu cha palepale gengeni akamwambia Leo...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana anayeweza kufanya mauzo Door to door na delivery

    Habari zenu. Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika. Piga 0713 039 875 (Awe Dar au Kibaha mjini). Muhimu: sipo JF muda mwingi,tumia simu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

    Ingekuwa Mungu anawauliza vijana wa leo wachague kati ya Hekima na Fedha unadhani wangechagua kipi? Mfalme Sulemani akiongoza kikao cha Baraza la Wakeze. Taswira kwa hisani ya google.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Walipiza kisasi cha kuua kijana baada ya mwenzao kuuawa na sungusungu Mburahati

    Wanabodi, Siku za nyuma niliweka thread kuhusu mauaji ya kijana Jumanne Jongo kuuawa na sungusungu maeneo ya Beach Boy Mburahati.Kijana huyu anaishi maeneo ya Banda Mabibo. Kijana aliyeuawa anaitwa Abdu ana umri wa miaka 19. Kilichotokea ni kwamba kijana aliyeuawa alikwenda kwenye mziki maeneo...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Chile: Kiongozi wa wanafunzi wa Chuo achaguliwa Rais Kijana zaidi

    Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile. Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa. Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo wa kushoto ameshinda uchaguzi wa marudio dhidi ya mpinzani wake wa mlengo wa Kulia Antonio Kast.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu programmer tusaidiane

    Hili si tangazo la kazi bali natafuta kijana mwenzangu ambae ni programer na yupo kwenye app & web dev. Nimegraduate last year, computer science, hata kama huna degree ya computer science na wewe ni self taught hii inakuhusu Lengo ni kujiajiri, itakuwa vyema zaidi aki cover backend, Software...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja. Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT. "Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
  10. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu. Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo...
  11. Kingsmann

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

    Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao. Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata...
  12. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Iliki ya kijan (Green cardamom) na eneo

    Habari ya asubuhi wakuu. Naomba kujuzwa eneo ninayoweza kupata iliki na bei kwa kilo. Iliki hiyo, iwe ni ya kijani, yaani imekaushwa pasipo kupoteza rangi yake. Natanguliza shukrani.
  13. Copolla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Psychological Effects gani anapata kijana mdogo akifanya mapenzi na mtu mzima?

    Habari. Naomba mnisaidie kunijuza kuhusu psychological effects (madhara ya kisaikolojia) anayoyapata mtoto wa kiume au wakike akiwa na tabia ya kupenda kufanya mapenzi na watu wazima. Yaani waliomzidi umri sana mfano kama utofauti wa miaka 10 na kuendelea.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza huu wimbo kutoka malawi uliorekodiwa live na mwanamziki mzee wa miaka 93 akimshirisha kijana . Lazima utaupenda tu.

    Mzuka wanajamvi! Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana. Love Malawi!
  15. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Kijana wa namna hii tukimfukuza ni kosa?

    Wanajamvi napenda kuwasalimu kwa jina la jamuhuri, na niwatakieni mapumziko mema. Wakuu kuna dogo kaja Dodoma hapa yuko UDOM hapo anasoma tumempa hifadhi ghetto hapa. Ila vitabia vyake vinaenda kutushinda na tumefikiria kumtimua baada ya kumuonya sana ni hivi tuna kaofisi hapa ambako...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ismaili Bayumi kijana aliyeingiza TANU Kenya 1950s

    BI. TITI MOHAMED ALIVYONIKUTANISHA NA ISMAILI BAYUMI Tuwekeni kumbukumbu kwani kumbukumbu ikihifadhiwa hukumbusha. Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana. Nimekuwa nikiitafuta picha ya marehemu Ismail Bayumi kwa miaka mingi bila mafanikio. Nataka nieleze vipi nilipata historia ya Ismaili...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijana changamkia fursa katika mradi wa bomba la mafuta

    #SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA. Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea kuitekeleza kwa maendeleo ya Taifa letu, Je! Sisi Kama Vijana ni Fursa zipi za kiuchumi tunaweza...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi. Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku. Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

    Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa 🤔 habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha =========== Mamlaka katika...
Back
Top Bottom