Jinsi nilivyofanya kazi kwa mrundi kwa mshahara wa laki 3 kwa mwaka Kigoma

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
435
1,565
Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi,

Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi,

Naona watu wamesimama pembezoni mwa reli wengine wana baiskeli wengine majembe, madumu nk. wakisubiri treni ipite wavuke waendelee na safari zao,

Kama nususaa hivo haikupita naanza kuona mitumbw bot meli ni vikielea ziwa Tanganyika, treni inafika mwisho wa safari mapigo ya moyo yanazidi kuongezeka abiria wengi wanashuka wengine wanapokelewa na ndugu zao au marafiki wengine wanachukua usafiri na kuelekea wanakofikia, Mimi na begi langu mgongoni nakuwa bado nashangaa,

Kutazama upende mmoja nakutana na bot nyingi za wavuvi naamua kuelekea huko nakutana na Bango limeandikwa joy fm kigoma, nasimama dk moja kutazama kwenye geti huko ndani nisione chochote,

Naendelea zangu na safari nikiwa na maji ya kunywa kwenye chupa niliyoyanunua tabora, nafika pembezoni mwa ziwa naona pilika pilika nyingi zikiendelea wengine wanapakua mizigo wengine wanapakia nafikiri ile ilikuwa ni mitambo ya kuchenjua dhahabu inaenda Congo kama sikosei,

Natazama pembeni naona bot bovu naenda kujiegdsha usingizi mzito unanipitia nakuja kuzinduka saa 9 alasiri naamka njaa Kali imenikamata namalizia maji yangu kwenye chupa, akili inaniambia hapo mjini kupata kazi ni ngumu, kwani asubuhi nilijaribu kuomba hata zamu ya kwenda ziwani usiku kuvua samaki nikaishia kupewa ahadi za kusubiri

Naamua kurudi nyuma kwa mguu kufuata ile reli kwani asubuhi wakati nipo kwenye treni niliona mashamba na bustani nyingi za mimea mbali mbali,

Natembea kidogo nakutana na nyumba bembezoni zikiwa kwenye uzio kisha naona watu wengi na watoto wakichungulia nje, nagundua ni wakimbizi

Natembea kama nususaa nakutana na kipande cha muhogo kimeliwa nusu nakiokota nakula na maganda yake, pembeni naona mashamba mengi tu ya mihogo, lakini roho wa tamaa namshinda,

Natembea mbele kidogo nakutana na mama mmoja na binti wana toka shambani, naaasalimia kisha nawaeleza shida yangu, kaamba natafuta kazi muda huo ni saa 11 jioni wananielekeza nisonge mbele kidogo kuna mtu nitamkuta analima nimuulize,

Kabla sijafika nilipoelekezwa pembeni ya mto namuona kijana mmoja mfupi anarusha mawe juu ya migazi\michikichi akifukuza tumbili, nakunja namuelekea kisha namsalimia na kumweleza shida yangu ya kutafuta kazi,

Anatabasamu kisha anamshukuru mungu na kuniambia nikae chini kwani nimeshafika mahala husikaa,

Namshukuru mungu sana na kujiona ni mtu mwenye bahati nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumamosi,

Sijajua kijana aliona nn kwangu ila alienda kunichomea machikichi\ngazi pamoja na mahole\hole moja alilokuwa nalo ananipa nakula ananiletea nyanya ntole\mshumaa nabugia zote mwishowe ananiambia kazi nimepata,

Nikaendelea kumshukuru mungu, ananieleza kwamba yeye ni baba wa familia ya mke na mtoto mmoja,

Muda unafika ananiambia niingie mtoni nioge kisha tuende nyumbani, yeye anaingia kwenye maji na kukagua mitego yake ya ndoana aliyotega samaki,

Tunakamilisha kila kitu anachukua jembe na vifaa vingine anavificha kwenye majani safari ya kuelekea nyumbani inaanza

Ngja ninywe maji kidogo tuendelee......

Songa nayo..
Baada ya kufika nyumbani tukakaribishwa na make wake au shemeji ilikuwa ni nyumba ya vyumba viwili na sebule iliyoezekwa kwa nyasi, basi bhana kwa sababu tulifika usiku hivo baada ya kunitambulisha kwa mke wake tukala ugali na dagaa kwa Mara ya kwanza nikala mafuta ya mawese, nilikula kwa taabu sana basi muda wa kulala ukafika nikaonheshaa chumba chumba changu cha kulala,
yaani kwa jinsi hii nyumba ilivokuwa ukijamba lazima upande wa Pili wasikie,

Kesho yake ilikuaa ni juma pili hivo hatukuenda ruanda\ shambani hivo tukawa tunaezeka nyumba maana ilikuwa inavuja mvua ikianza kunesha, tukaezeka kwa kiasi chake, basi bhana jioni yake tukakaa tukubaliane malipo na namna kazi zitakavyokuwa,

Kwanza kabisa kazi itakuwa ni ya mkataba na huo mkataba ni wa mwaka momoja hivo mwaka ukiisha ndo unapata malipo yako, na kazi yenyewe ni ya kilimo cha bustani, na mkataba wenyewe ni wa maneno yaani sio wa maandishi,

Nikakubali ikawa hakuna jinsi lakini Mimi siku zote huwa sitazami ilipo simamia miguu yangu,

Jumatatu saa 11 naamushwa napewa unga mafuta kwenye chupa ya mawese chumvi na kiberiti nabeba na panga naelekea shambani, nimeshaelekezwa namna ya kwenda kuanza kazi, naanza kutembea kutoka ujiji bzebazeba mtaa wa kirugu naelekea ruanda ni mwendo wa dk 40 kwa anayejua kutembea nafika shambani naanza kazi, ilikuwa ni kazi ya kutifua tifua kwanza,

Nikalima mpaka saa 7 mchana nikaokota kuni washa moto pika mboga ugali kwa mara ya kwanza nakula ugali wa muhogo upo kama na rangi ya brown jina nimssahau, nikala nikashiba nikapumzika kidogo,

Kazi na iendelee mpaka saa 11 jioni naingia mtoni naoga safari ya kurudi inaanza,

Nakumbuka nikiwa njiani nikakutana na bibi amebeba kuna anaelekea niendako, nikachukua kuni na kuweka kichwani na kumsaidia, mpaka mwisho wa safari yangu, nikamkabidhi, mzigo wake, nakumbuka yule bibi aliniambia kwamba anao mabinti wawili bado hawajaolewa,

Nikamwambia asante nashukuru sana,

Nikafika ninapoisha mambo mengine yakaendelea,

Uchawi unaanza baada ya boss wangu kugombania mipika ya kiwanja na jirani,

Baasi bhana nilikuwa na shuka langu nilinunua dar elfu 20 ndo nilikusa najifunika nikiwa nimejifunika kuna panya anakuja analitafuna likiwa mwilini kwangu na akishaling'ata tu linafanya kama kuoza hivi, mabundi wakawa wanalia vibaya mno nje ya nyumba naamka nakaa nafanya maombi,

Ajabu asubuhi nikiwauliza boss na mkewe wananijibu hawakusikia chochote, hii kitu iliendelea kwa muda kudogo,

Maisha yakiwa yanaendelea shambani kule tumeshapanda miche ya hoho mahindi nyanya ntole,

Maisha ya pale yalikuwa ni magumu sana kwani chakula chetu kikuu ilikuwa ni mihogo, tena ya wizi, hata hiyo mche ya hoho ilikuwa ya wizi kuna mtu alituibia sehemu akatuletea tukampa elf 2

Kunawakati nilikuwa naiba ile mihigo iliyovundikwa kwa ajili ya unga wa ugali naenda kula zangu nikitoka nyumbani,

Uchawi wazidi boss atafuta Mteja wa nyumba auze tuende kwao Burundi

Nakunywa maji kidogo, mpaka iishe tu,

itaendelea....
 
Kabla ya kusoma story za hapa jf huwa nashuka mwisho kuona kama kuna neno "itaendelea" na nikishalikuta tu hilo neno ndo nakuwa nishamaliza kabisa kifuatilia huo uzi.

Mleta mada fanya uwa waishie muendelezo wazalendo, mimi ndo nimeishia hapa na sijasoma wala kuelewa chochote zaidi ya kichwa cha habari.
 
Mtihani huu
 
ndo nauandaa hapa ila comenti yako ndo imenikatisha😂
 
maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi,

saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi,

naona watu wamesimama pembezoni mwa reli wengine wana baiskeli wengine majembe, madumu nk. wakisubiri treni ipite wavuke waendelee na safari zao,

kama nususaa hivo haikupita naanza kuona mitumbw bot meli ni vikielea ziwa Tanganyika, treni inafika mwisho wa safari mapigo ya moyo yanazidi kuongezeka abiria wengi wanashuka wengine wanapokelewa na ndugu zao au marafiki wengine wanachukua usafiri na kuelekea wanakofikia, Mimi na begi langu mgongoni nakuwa bado nashangaa,

kutazama upende mmoja nakutana na bot nyingi za wavuvi naamua kuelekea huko nakutana na Bango limeandikwa joy fm kigoma, nasimama dk moja kutazama kwenye geti huko ndani nisione chochote,

naendelea zangu na safari nikiwa na maji ya kunywa kwenye chupa niliyoyanunua tabora, nafika pembezoni mwa ziwa naona pilika pilika nyingi zikiendelea wengine wanapakua mizigo wengine wanapakia nafikiri ile ilikuwa ni mitambo ya kuchenjua dhahabu inaenda Congo kama sikosei,

natazama pembeni naona bot bovu naenda kujiegdsha usingizi mzito unanipitia nakuja kuzinduka saa 9 alasiri naamka njaa Kali imenikamata namalizia maji yangu kwenye chupa, akili inaniambia hapo mjini kupata kazi ni ngumu, kwani asubuhi nilijaribu kuomba hata zamu ya kwenda ziwani usiku kuvua samaki nikaishia kupewa ahadi za kusubiri

naamua kurudi nyuma kwa mguu kufuata ile reli kwani asubuhi wakati nipo kwenye treni niliona mashamba na bustani nyingi za mimea mbali mbali,

natembea kidogo nakutana na nyumba bembezoni zikiwa kwenye uzio kisha naona watu wengi na watoto wakichungulia nje, nagundua ni wakimbizi

natembea kama nususaa nakutana na kipande cha muhogo kimeliwa nusu nakiokota nakula na maganda yake, pembeni naona mashamba mengi tu ya mihogo, lakini roho wa tamaa namshinda,

natembea mbele kidogo nakutana na mama mmoja na binti wana toka shambani, naaasalimia kisha nawaeleza shida yangu, kaamba natafuta kazi muda huo ni saa 11 jioni wananielekeza nisonge mbele kidogo kuna mtu nitamkuta analima nimuulize,

kabla sijafika nilipoelekezwa pembeni ya mto namuona kijana mmoja mfupi anarusha mawe juu ya migazi\michikichi akifukuza tumbili, nakunja namuelekea kisha namsalimia na kumweleza shida yangu ya kutafuta kazi,

anatabasamu kisha anamshukuru mungu na kuniambia nikae chini kwani nimeshafika mahala husikaa,

namshukuru mungu sana na kujiona ni mtu mwenye bahati nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumamosi,

sijajua kijana aliona nn kwangu ila alienda kunichomea machikichi\ngazi pamoja na mahole\hole moja alilokuwa nalo ananipa nakula ananiletea nyanya ntole\mshumaa nabugia zote mwishowe ananiambia kazi nimepata,

nikaendelea kumshukuru mungu, ananieleza kwamba yeye ni baba wa familia ya mke na mtoto mmoja,

muda unafika ananiambia niingie mtoni nioge kisha tuende nyumbani, yeye anaingia kwenye maji na kukagua mitego yake ya ndoana aliyotega samaki,

tunakamilisha kila kitu anachukua jembe na vifaa vingine anavificha kwenye majani safari ya kuelekea nyumbani inaanza

ngoja ninywe maji kidogo tuendelee......
Lete uhondo

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
songa nayo..
baada ya kufika nyumbani tukakaribishwa na make wake au shemeji ilikuwa ni nyumba ya vyumba viwili na sebule iliyoezekwa kwa nyasi, basi bhana kwa sababu tulifika usiku hivo baada ya kunitambulisha kwa mke wake tukala ugali na dagaa kwa Mara ya kwanza nikala mafuta ya mawese, nilikula kwa taabu sana basi muda wa kulala ukafika nikaonheshaa chumba chumba changu cha kulala,
yaani kwa jinsi hii nyumba ilivokuwa ukijamba lazima upande wa Pili wasikie,

kesho yake ilikuaa ni juma pili hivo hatukuenda ruanda\ shambani hivo tukawa tunaezeka nyumba maana ilikuwa inavuja mvua ikianza kunesha, tukaezeka kwa kiasi chake, basi bhana jioni yake tukakaa tukubaliane malipo na namna kazi zitakavyokuwa,

kwanza kabisa kazi itakuwa ni ya mkataba na huo mkataba ni wa mwaka momoja hivo mwaka ukiisha ndo unapata malipo yako, na kazi yenyewe ni ya kilimo cha bustani, na mkataba wenyewe ni wa maneno yaani sio wa maandishi,

nikakubali ikawa hakuna jinsi lakini Mimi siku zote huwa sitazami ilipo simamia miguu yangu,

jumatatu saa 11 naamushwa napewa unga mafuta kwenye chupa ya mawese chumvi na kiberiti nabeba na panga naelekea shambani, nimeshaelekezwa namna ya kwenda kuanza kazi, naanza kutembea kutoka ujiji bzebazeba mtaa wa kirugu naelekea ruanda ni mwendo wa dk 40 kwa anayejua kutembea nafika shambani naanza kazi, ilikuwa ni kazi ya kutifua tifua kwanza,

nikalima mpaka saa 7 mchana nikaokota kuni washa moto pika mboga ugali kwa mara ya kwanza nakula ugali wa muhogo upo kama na rangi ya brown jina nimssahau, nikala nikashiba nikapumzika kidogo,

kazi na iendelee mpaka saa 11 jioni naingia mtoni naoga safari ya kurudi inaanza,

nakumbuka nikiwa njiani nikakutana na bibi amebeba kuna anaelekea niendako, nikachukua kuni na kuweka kichwani na kumsaidia, mpaka mwisho wa safari yangu, nikamkabidhi, mzigo wake, nakumbuka yule bibi aliniambia kwamba anao mabinti wawili bado hawajaolewa,

nikamwambia asante nashukuru sana,

nikafika ninapoisha mambo mengine yakaendelea,

uchawi unaanza baada ya boss wangu kugombania mipika ya kiwanja na jirani,

baasi bhana nilikuwa na shuka langu nilinunua dar elfu 20 ndo nilikusa najifunika nikiwa nimejifunika kuna panya anakuja analitafuna likiwa mwilini kwangu na akishaling'ata tu linafanya kama kuoza hivi, mabundi wakawa wanalia vibaya mno nje ya nyumba naamka nakaa nafanya maombi,

ajabu asubuhi nikiwauliza boss na mkewe wananijibu hawakusikia chochote, hii kitu iliendelea kwa muda kudogo,

maisha yakiwa yanaendelea shambani kule tumeshapanda miche ya hoho mahindi nyanya ntole,

maisha ya pale yalikuwa ni magumu sana kwani chakula chetu kikuu ilikuwa ni mihogo, tena ya wizi, hata hiyo mche ya hoho ilikuwa ya wizi kuna mtu alituibia sehemu akatuletea tukampa elf 2

kunawakati nilikuwa naiba ile mihigo iliyovundikwa kwa ajili ya unga wa ugali naenda kula zangu nikitoka nyumbani,

uchawi wazidi boss atafuta Mteja wa nyumba auze tuende kwao Burundi

nakunywa maji kidogo, mpaka iishe tu,

itaendelea....
Wanasema hamna jipya chini ya jua, Ila hii hadithi yako kama nilishaisoma miaka ya nyuma. Pengine hii ni mpya.
 
Kabla ya kusoma story za hapa jf huwa nashuka mwisho kuona kama kuna neno "itaendelea" na nikishalikuta tu hilo neno ndo nakuwa nishamaliza kabisa kifuatilia huo uzi.

Mleta mada fanya uwa waishie muendelezo wazalendo, mimi ndo nimeishia hapa na sijasoma wala kuelewa chochote zaidi ya kichwa cha habari.
Inakera sana.
 
Duh
 
Jinsi alivotembea kutoka kigoma stesheni na kukutana na kijana anapiga ngedele ghafla wapo ujiji da?
Yani ni sawa mtu yupo stesheni Dar ghafla yupo pugu. Logic haipo, au un
meruka kipande cha kigoma mjini,mwanga, metro na hatimae ujiji.
Mliruka na ungo??
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom