Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.
Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.
Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.