Stay strong kaka. Ndio dunia ilivyo, na ukweli mchungu ni kuwa ukizaliwa tu. basi ipo siku utakufa!Mkuu swali lako limenitonesha kidonda. Nimempoteza mama yangu mzazi wiki iliyoisha. Pumzika kwa amani mama angu.
Natamani hata nikufate ulipo. Nakukumbuka sana
Not true kwamba ukizaliwa lazima utakufa, unless kama wewe ni kundi la akina Mshana Jr wanaoamini katika uchawiStay strong kaka. Ndio dunia ilivyo , na ukweli mchungu ni kuwa ukizaliwa tu. basi ipo siku utakufa!
So, kuonana kupo, siyo?Itategemea hazina zenu mumezitunza wapi, kama ukifa ktk haki na mpendwa wako au wapendwa wako vivyo hvyo, basi kulingana na maandiko ni dhahiri mutakutana paradiso na kuishi milele pasipo na kufa tena wala taabu na hadha zozote, bali kama utakufa muovu pamoja na wapendwa wako basi mtakutana ktk lile ziwa la moto kila mmoja akimwambia mwenzake "kwanini hukunionya mapema huku wakipigana, na kama utakufa ktk dhambi na mpendwa wako ktk haki basi mutaonana kwa mda mfupi sana na hamutakaribiana na kufumba na kufumbua kila mmoja ataelekezwa kule alikojiwekea hazina yake.
Mkuu swali lako limenitonesha kidonda. Nimempoteza mama yangu mzazi wiki iliyoisha. Pumzika kwa amani mama angu.
Natamani hata nikufate ulipo. Nakukumbuka sana
Labda ukutane na Iblis Bin ShetanWapo watu hukutana na waliofariki kwa njia ya ndoto ...
So nafikiri kuna kukutana huko wote mkishakufa .
😂 😂 mkuu acheni blahblah. hivi vitu mnatoa wapi.Itategemea hazina zenu mumezitunza wapi, kama ukifa ktk haki na mpendwa wako au wapendwa wako vivyo hvyo, basi kulingana na maandiko ni dhahiri mutakutana paradiso na kuishi milele pasipo na kufa tena wala taabu na hadha zozote, bali kama utakufa muovu pamoja na wapendwa wako basi mtakutana ktk lile ziwa la moto kila mmoja akimwambia mwenzake "kwanini hukunionya mapema huku wakipigana, na kama utakufa ktk dhambi na mpendwa wako ktk haki basi mutaonana kwa mda mfupi sana na hamutakaribiana na kufumba na kufumbua kila mmoja ataelekezwa kule alikojiwekea hazina yake.
kweli kabisa. vitu vinavyojitokeza na kudai ni mzimu wa marehemu ,huyo ni shetani mwenyewe, tujihadhariLabda ukutane na Iblis Bin Shetan
Nataka kujifunza zaidi kutoka kwako.Not true kwamba ukizaliwa lazima utakufa, unless kama wewe ni kundi la akina Mshana Jr wanaoamini katika uchawi
Natafuta mantiki ya maelezo yako, lakini where!??? Au nasema uongo ndugu zangu!???Fuvu la binadamu wa kwanza liligunduliwa olduvai miaka 62 iliyopita na walivyolipima kwa carbon14 waligundua lilikuwa na miaka milioni 1.75 ,tambua kwamba yesu ali exist miaka 2000 tu iliyopita sasa piga mahesabu mpaka aje kufikisha miaka milioni 1.75 itakuwa lini hiyo?
Huoni mpaka amenukuu hapo, au mm tu ndiye nimeona!???😂 😂 mkuu acheni blahblah. hivi vitu mnatoa wapi.
tuweke na reference ya kile tunachokileta hapa
Jibu zuri sana...Itategemea hazina zenu mumezitunza wapi, kama ukifa ktk haki na mpendwa wako au wapendwa wako vivyo hvyo, basi kulingana na maandiko ni dhahiri mutakutana paradiso na kuishi milele pasipo na kufa tena wala taabu na hadha zozote, bali kama utakufa muovu pamoja na wapendwa wako basi mtakutana ktk lile ziwa la moto kila mmoja akimwambia mwenzake"kwanini hukunionya mapema huku wakipigana, na kama utakufa ktk dhambi na mpendwa wako ktk haki basi mutaonana kwa mda mfupi sana na hamutakaribiana na kufumba na kufumbua kila mmoja ataelekezwa kule alikojiwekea hazina yake.
Mkuu pole sanaaa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumuMkuu swali lako limenitonesha kidonda. Nimempoteza mama yangu mzazi wiki iliyoisha. Pumzika kwa amani mama angu.
Natamani hata nikufate ulipo. Nakukumbuka sana