Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.

Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.

Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.

Raha ya milele umpe ewe bwana.....

Pumzika kwa amani mama Agness.

Soma Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

Pia soma Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!
 
Pole sana kwa PIGO HILO ZITO.....

Mwenyezi Mungu akutie nguvu na subira wewe na mwanetu Agness aaamin🙏

Msiba ukiisha nitakuomba uje utueleze kuhusu huyo "jamaa yake"......

RiP shemeji yetu mama Agness ,amen🙏
 
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.

Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.

Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.

Raha ya milele umpe ewe bwana.....

Pumzika kwa amani mama Agness.
Poleni! Wapumzike kwa Amani!
 
Pole mkuu,naamini hukufanya kitu chochote kibaya juu yao kutokana na wivu wa mapenzi,

May their soul rest in heavenly peace
 
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.

Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.

Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.

Raha ya milele umpe ewe bwana.....

Pumzika kwa amani mama Agness.
Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe
 
Polee sanaa mkuu...

Kwa aliyokufanyia na huyo jamaa Ake najifunza kuwa malipo hapa hapa Duniani kwa Allah ni hukumu tu ..

Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema...
 
Back
Top Bottom