kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kumkaririsha kidato cha pili mtoto aliyefaulu? Utaratibu ukoje?

    Habarini wanajamvi; wema na wabaya wa mada hii! Nauliza kama mzazi nina uhuru wa kumkaririsha kidato cha pili mtoto wangu aliyefaulu mtihani wake wa kidato cha pili (FTNA) kwa vile hakufaulu kwa viwango nivitakavyo mimi na vya kumsaidia maisha yake? Yaani, kwa mfano, mtoto kapiga A na B masomo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...
  4. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2024 zinatoka lini? Mbona kama zimechelewa? NECTA mnasemaje?

    Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
  5. H

    JamiiForums Tanzania KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Wadau Eid Mubarak, Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu...
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania Ninayo sababu kupinga mpangiliao wa Tahasusi mpya Kidato cha tano na sita

    1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles). 2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani? 3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kusajili mtahiniwa binafsi kidato cha nne ni kubwa mno

    NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa. Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?. Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
  8. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera idara ya elimu sekondari halmashauri Bunda kwa mabadiliko ya mtihani wa mock kidato cha pili na kidato cha nne

    Hii sasa ndio mikakati madhubuti ya kuinua kiwango cha ufaulu katika halmashauri.Hili jambo lina mana gani kwa walimu na wanafunzi? Tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma ambapo mtihani wa ukamilifu (mock) ulikuwa unafanyika kati ya mwezi may au agosti ambapo miezi ya awali wanafunzi...
  9. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Natafuta softcopy ya notisi za kiswahili kidato cha pili

    Wakuu naomba kama kuna mtu ana notisi za kiswahili (kidato cha pili) au link ambayo naweza kuzipata anisaidie! Nataka kumsaidia kijana wangu
  10. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Nahitaji notice za sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne

    Wadau wapi naweza kupata notice za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kulingana na mtahala (syllabus) za wizara ya elimu Tanzania. Wapi naweza kuzipakua (download) kwa ajili ya vijana wetu? Wengi wetu tunaweza kuwa na changamoto ya hili jambo maana unaweza ukawa na kijana akataka...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa wananchi wote kuhusu watoto ambao hawajafanya vizuri kidato cha nne

    Ni kweli wamefeli form four, wamepata four na zero.... kabla ya kuwalaumu tujiulize tulifanya jitihada gani kupunguza tatizo. Tuliwaonya walipokuwa wanakosea? Tuliwashauri? Tuliwasaidia mahitaji yao ya kishule kama Ada na mengineyo? Hatukuwatumikisha kazi zetu bila kujali umri wao na ratiba zao...
  12. Mtewele isaya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kidato cha 6 waruhusiwe kufundisha somo la Hisabati

    Nchi yetu imekuwa na nia njema sana ya kuendeleza Vijana katika fani mbalimbali hasa za ufundi na ujasiriamali. Kimsingi vijana wenye uelewa wa somo la hesabu wanaweza kufanya vizuri sana katika fani hizo za ufundi na ujasiriamali. Hata hivyo kutokana na upungufu/ ukosefu wa waalimu wa hesabu...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

    Hii inashangaza. Nimejiuliza maswali mengi. https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE2023/results/s1475.htm
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 56,149 Wamepata Disivion 0 Kidato cha 4, zaidi ya Laki 2 wamepata Division 4

    Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0. Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Siasa, unafiki na usanii: Ufaulu wa kidato cha nne mwaka 2023 umejificha ndani ya divisheni 4

    Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

    Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. Soma Pia Matokeo mengine...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya matokeo ya Kidato cha Nne 2023

    Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5. Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa. Ebu fikiria, kama kafeli utatakiwa uwaze juu ya kumpeleka private school, wakati trh 8 tu mwezi huu mifuko...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne. (Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana kama kwenu maisha magumu ukimaliza kidato cha nne nenda VETA, achana na kidato cha 5

    Kidato cha 5 muwaachie watoto waliotoka familia zilizoendelea. Miradi ya kimkakati karibu yote itaajiri vijana kutoka technical colleges ngazi ya diploma na certificate (NTA level 5&6). Ukiwa kazini utaipambania degree utaitwa boss Utakuwa hero aliyetoka mavumbini. Msije kusema sijawaambia.
Back
Top Bottom