Matokeo ya kidato cha sita 2023. Karibu shule zote daraja lenye idadi kubwa ya waliofanya vizuri ni daraja la kwanza ( Division one). Kwa matiki hiyo mambo yafuatayo yanaweza kujitokeza;
1. Kama vyuo vikuu vitachukua wanafunzi kulingana na uwezo wake kama miaka ya nyuma ni dhahili kuwa...
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi.
DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023?
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
Heshima kwenu,
Serikali ya awamu ya sita ilitangaza kufuta ada kwa kidato cha 5 na sita kwa shule za serikali ambayo ilikuwa ni shilingi 70,000/=.
Nimepitia fomu za kujiunga na kidato cha 5 mwaka huu 2023. Kuna mchango mpya umeanzishwa unaoitwa mchango wa uendeshaji wa shule kiasi cha shilingi...
Habari wanajamvi...
Niende kwenye mada; mwaka huu TULIPATA habari kuwa wanaopangwa SAYANSI yaani PCM na PCB ni wenye daraja la kwanza tu tena wavulana ni 7-15 na WASICHANA ni 7-17...
Ni jambo jema kuimarisha msingi wa elimu ili kujihakikishia wataalam bora hapo baadaye; Ninachojiuliza mimi ni...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchema amesema bajeti inapendekeza kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi wanaopangiwa vyuo vya kati na Serikali wakimaliza kidato cha nne, vyuo hivyo ni, DIT, MUST na AITC.
Waziri wa fedha amesema serikali imefikia uamuzi huo ili kuzalisha wataalamu wengi wa fani...
Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa mwaka wa masomo wa 2023-2024, hakuna tofauti nchini Tanzania. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla.
Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi...
Mwenye link aweke mm ni mbeaa
===
Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki amesema wanafunzi 129,830 wakiwemo wasichana 66,343 na wavulana 63,487 sawa na 69% ya wanafunzi wenye sifa, wamechaguliwa kujiunga na shule za sekondari za kidato cha tano.
Angellah Kairuki ameyasema hayo leo Juni 11, 2023...
Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao.
Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
Mwanza, Tanzania
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Elimu - wizara ya TAMISEMI Dr. Charles Enock Msonde na Dr. Lyabwene Mtahabwa - kamnishna wa elimu kutoka wizara ya elimu wahimiza waalimu wa darasa la kwanza na darasa la tatu shule ya msingi wawe mahiri ktk masomo yao huku vigezo vya lazima...
Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023!
Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’.
Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
Na WyEST
MWANZA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022.
Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.