Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced Mathematics-E
General Studies- D ( japo haina maana).
Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
Nina ndugu yangu yuko kidato cha kwanza shule ya private ila leo karudi na barua toka shule kwamba kachuguliwa kusoma HKL kwa maana ya masomo ya ART na ni yuko kidato cha kwanza je huu ni mtaala mpya wa kulazimishwa kusoma combinations fulani bila mwanafunzi kuchagua?
Na hata bado hajafika...
Jeshi la Polisi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza kutoka Shule ya Sekondari Mtenga, Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Samwel Kayoka (16) kwa tuhuma za mauaji ya mdogo wake Jackson Kayoka (14) kwa fimbo walipokuwa wakicheza mchezo wa kupigana kwa fimbo.
Taarifa...
Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome CBG? , ufaulu wake n sawa kwa masomo yote ya arts na sayansi yaani hakuna utofauti
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) ambao walibainika kufanya udanganyifu katika Mtihani.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo July...
Nimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John Mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje, kufika ubalozini akanyimwa ViSA
Mwamba...
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma.
Hili ni jambo jema swali langu ikiwa...
Ilikuwa jumatatu tarehe 14/02/2000 mida ya mchana nilishuka kituo cha basi Moshi Technical Sec School nikiwa na mama yangu. Tukavuka barabara na kuingia shuleni ili kujiunga kidato cha kwanza. Nakumbuka nilikuwa nimechelewa wiki moja. Baada ya taratibu za usajili wakaitwa mwanafunzi wenzangu na...
Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua.
====
Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.