kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Lookman Sinza kimezuia baadhi ya Wanafunzi kufanya Mitihani ya kidato cha 4 2024

    Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba. Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology. Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
  2. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilitokea mwaka uliofanya Mitihani ya Kidato cha 4 na hautakaa ulisahau?

    Mimi nakumbuka tukiwa Mtihani wa Geography tulitolewa chumba cha Mtihani kwa madau Pepa imevuja hadi Bungeni Wabunge wanayo. Tukasimamiswa wote Mtihani ubabadilishwa siku, wazimamizi na rangi mtihani kutoka Njano kuwa Nyeupe.
  3. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

    Habari wanajukwaa! Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu. Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa? Hii screenshoot ya...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania TCU ianzishe Expo kwa ajili ya wahitimu wa kidato cha sita

    Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa vyao katika tafakuri zao ila bado linabakia...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kidato cha kwanza wanacheza mchezo wa upatu, Taifa linaelekea wapi?

    Habari! Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho. Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  7. Da Gladiator

    JamiiForums Tanzania Msimu wa MAHAFALI za kidato Cha NNE ndio huu, tupe kumbukumbu yako.

    Habarini za mchana, Ijumaa nilipokea mwaliko wa kuhudhuria MAHAFALI ya kidato Cha NNE huku nyanda za juu, kiukweli nimekumbuka mengi sana. 1.KWAYA "Haikuwa rahisi kuifikia siku hii yenye mafanikio, oooh tazama.. tazama wote kwa shangwe furaraha nasema Asante Mungu baba" Kama kuna anaekumbuka...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi kidato cha kwanza ajiua kwa kujichoma kisu Tunduma

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya wazazi wake kumhoji juu ya mwenendo wa tabia zake ambazo zimeonesha kutokuwaridhisha wazazi. Kijana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania UTV:MAANDAMANO SIMIYU, MHITIMU KIDATO CHA 6 AUAWA RAMAD BUSEGA SIMIYU AUA

    Katika Hali inayojulikana kama maandamano ya kupinga watoto kupotea katika nchi yetu, Kwa Mujibu wa UTV, KUNA kijana ameuwawa Kwa kupigwa rasasi na polisi hapo Jana tarehe 21/08/2024
  10. Movic Evara

    JamiiForums Tanzania The sentence in sentence case is: Anaandika Malisa GJ kuhusu kuahirisha utekelezaji wa mtaala ulioboreshwa wa kidato cha tano

    Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music na walimu wa michezo wa kutosha? Tuliuliza kwa sababu tunajua vyuo vyetu haviandai walimu wa masomo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam. Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar. Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024 Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za kutatua ajira kwa vijana wa kidato cha nne na cha sita

    SOKO LA AJIRA KWA VIJANA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA. TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO. Je vijana wenye elimu ya kidato cha nne na sita wanasaidiwaje katika soko la ajira? Je mfumo wetu wa elimu umewatengenezea ujuzi wowote hawa vijana waliohitimu kidato cha nne na cha sita na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne

    Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne Kwanza kabisa, ninawapongeza wanafunzi wote ambao wamefanikiwa kumaliza kidato cha nne na kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano, au wale waliopata nafasi katika vyuo mbalimbali. Safari yenu ya elimu ni muhimu na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

    Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
  17. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania JKT wametangaza nafasi za Kujiunga kwenye Mafunzo kwa Vijana wa Kidato cha Sita waliohitimu mwaka 2024

    JKT LAWAITA VIJANA WA KIDATO CHA SITA MAKAMBINI Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, tarehe 24 Mei 2024, ametangaza nafasi za Kujiunga kwenye Mafunzo kwa Vijana wa Kidato cha Sita waliohitimu mwaka 2024. Akitoa tangazo hilo kwa niaba ya Mkuu wa JKT, Mkuu wa Tawi...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zaanza kukusanya Ada Kidato cha Kwanza 2025

    Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
  20. Madamboss

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wahitimu wa kidato cha sita wanapojiunga JKT watengewe muda wa kuishi kwenye jamii halisi za Kitanzania

    Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao. Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
Back
Top Bottom