kichwa

Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.

View More On Wikipedia.org
  1. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

    Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili. Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa. Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Abdala kichwa wazi anataka kuniabisha

    Wakuu. Niko hapa kwa majirani kwa rais anayewasumbua wale wenye timu iliyopigwa na timu ya wananchi jana Niko kikazi, nilifika hotel fulan standard but si kali sana ila bei kubwa, nilikuta pisi moja reception iko na sura ya kukidhi. Sasa jana nimelala, ile pisi ikawa haipo, leo imekuja basi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu utando mweupe kwenye mwili mtoto anapozaliwa

    Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10. Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
  4. SIMULIZI RIWAYA

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Sasha Mlinzi wa Nafsi - 1

    SASHA MLINZI WA NAFSI. Sehemu ya............1-2 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI... Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
  5. myself4myself

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Eliah Mwakalonge (Mkufunzi NMNA) pasua kichwa kwa Wanafunzi

    Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge anatufundisha somo la TEHAMA(information and communication Technology). Katika muhula huu wa...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama kitu kinachekesha kwa nini mnatanguliza kichwa cha habari "Utacheka"

    Kiukweli Tanzania sijui tunaelekea wapi hakuna cha wasanii wala habari kule youtube. Yaani hawa wasanii wanaojiita wachekeshaji aka comedy wa Tanznaia. Unafungua YouTube ukiona tu page zao basi neno linatangulizwa "utacheka" sasa ucheke wakati sijaona kinacho chekesha. Msanii anaanza kucheka...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwanamme aliyemchinja kichwa mkewe ahukumiwa kifungo cha miaka nane jela

    PICHANI: Binti mdogo Mona aliyekuwa mke wa muuaji aitwaye Sajjad Heydari. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja nchini Irani amemchinja pichani juu binti aliyekuwa mkewe kutokana na kumkimbia kwa sababu mateso na manyanyaso ndani ya Ndoa yao. Binti huyo mdogo aliolewa akiwa na miaka 12 na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inachanganya kichwa: Nimeota nimekoswakoswa kubamizwa na gari kwenye mti likaenda kuparamia nyumba ya watu

    Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  10. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kichwa kutoa mfereji kwa watoto (nzata)

    Khabari zenu, Nina mtoto mdogo wa miezi 5 sasa, ana ule mfereji katika kichwa una majina mengi sana. Kulingana na kila jamii, wengine huita nzata sijui nzasa but ni mpasuko katika kichwa. Mke wangu ameniambia dawa ni kumpaka shahawa zangu nimpake dogo. Nimestuka kwa kiasi nikaona nije huku...
  11. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke Pasua kichwa nakabiliana naye vipi?

    Ñm
  12. A

    JamiiForums Tanzania MIG 31 pasua kichwa

    MiG-31, ambayo ilifanya majaribio yake ya kwanza mnamo 1975, bado inawatia wasiwasi wataalamu wa kijeshi wa Western Military Watch imeripoti. Urusi haikuwahi kuza ndege hii, ndiyo sababu nchi za Western hazijaweza kufichua siri za MiG-31. Ndege ambayo technology yake ya kisasa zaidi, kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani pasua kichwa, Republican wadhihakiwa

    Mzuka Wanajamvi! Sasa hivi kuna mtifuano ndani ya chama cha Republican. Trump na gengeelake wanamnyooshea kidole senator minority mitch McConnell eti ndie amesasababisha Republican kufanya vibaya na kuifanya Democrats kuchukua senate. Lakini ikumbukwe huyuhuyu Mitch McConnell alitahadharisha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Daah! Ama kweli muosha huoshwa. Mcheki huyu jamaa aliyekuwa na confidence la "kufa mtu" kabaki kichwa tu

    Bado na wewe (fulani) unayepuuza sauti zetu siku za kuanguka kwako zinakaribia.
  15. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Kichwa kupata moto pekee yake ila mwili joto la kawaida

    Salaam wataalamu... Nahitaji msaada ndugu zangu, Mwanangu wa kike aliwahi kulazwa Mnyamala kwa Pneumonia na anaemia akiwa na miezi 5 takriban. Akatibiwa akapona ila hili TATIZO LA KICHWA KUWA CHA MOTO LIKIWA LIMEPUNGUA KIDOGO NA ALISAFIRI KWENYE BARIDI AKAPUNGUA KIASI SIO KUISHA KABISA...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!

    Pentagon yakiri kuwa droni zinazonasibishwa na Muajemi (Iran) zimekuwa "pasua kichwa" kwa Ukraine, US na NATO kwa ujumla. Afisa mwandamizi wa Pentagon amesema droni hizo zinachoma vibaya magarivita ya NATO yaliyopelekwa Ukraine (armored vehicles), mifumo ya ulizi wa anga, mikusanyiko ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni mwamba, kichwa na kiongozi. Kaa kwenye nafasi yako

    Habari wana JF, Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
  18. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

    Mpalestina anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja akatwa kichwa eneo la West Bank Haijafahamika ni vipi Ahmad Abu Marhia alifika katika mji wa wa nyumbani kwa wa Hebron Polisi wa Palestina wamemkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanaume mwenye umri wa miaka 25-baada ya mwili wake kupatikana ukiwa...
  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Trilioni za makinikia pasua kichwa

    Mwanza. Swali la Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina limewasha upya moto wa ahadi ya malipo ya mabilioni ya shilingi kutokana na malimbikizo ya kodi kutoka kampuni ya Barrick Gold. Maswali ya waziri huyo wa zamani wa mifugo na uvuvi bungeni, yameibua mjadala uliolenga kupata majibu ya Serikali...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu tunaomba utekelezaji wa kodi ya kichwa uanze mapema iwezekanavyo pengine ndio Watanzania tutazinduka

    Mtanisamehe! Kwakuwa sisi watanzania ni watu tusioweza kuungana kupinga jambo linaloumiza wachache, naomba makali yo tozo yaendelee na zaidi kodi ya kichwa ianze kukusanywa kwa vitendo. Wapinzani waliteswa na kunyanyswa sana lakini kuna wenzetu walikuwa wanabeza Kwakuwa hayawahusu na...
Back
Top Bottom