Video ya mfungwa wa vita akikatwa kichwa na wanajeshi wa Urusi

HERY HERNHO

Member
Mar 4, 2022
70
313
Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho wa mwanajeshi wa Urusi nchini Ukraine) akimkata kichwa mwanaume aliye hai aliyekuwa amevaa sare ya jeshi la Ukraine.

Nyuso za watu katika video hiyo ya dakika moja na nusu zilifunikwa na barakoa. Mmoja anayeaminiwa kuwa ni mwanajeshi Mrusi anaonekana akizungumza kupitia radio ya mawasiliano na kutoa maagizo kwa mwanajeshi wa pili (ambaye anatekeleza mauaji kwa kutumia kisu).

Picha hiyo pia inaonesha jinsi watu wawili wanavyoelezea mbele ya kamera jinsi wanavyomvua mwanajeshi wa Ukraine fulana ya kujikinga na risasi, Utepe wa rangi ya manjano unaonekana kwenye sare ya jeshi ya mtu ambaye anauawa (utepe wa rangi ya manjano hutumiwa na wanajeshi wa Ukraine vitani).

Video hiyo inaonesha majani ya kijani kibichi, kwahiyo huenda ilirekodiwa nyakati zilizopita, kwani kwa sasa hali ya hewa ni ya baridi kali.
 
Hii video inahitaji ujasiri kuitizama, wanajeshi wa Urusi wajichukua video wakimchinja mfungwa wa vita mithili ya wale magaidi wa kijihadi ambao huchinja watu vichwa kisa dini.

Yaani kama kuna Mkristo bado anawashabikia hawa jamaa utakua umechizi...jambo la hovyo sana kuingia kwenye nchi ya watu na kuwachinja hivi kama mbuzi, dunia iwape support hawa Ukraine kabisa bila kulegeza.....

https://uaposition.com/wp-content/uploads/2023/04/execution-of-Ukrainian-war-prisoner.mp4?_=1
Vua sidiria uchanjwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii video inahitaji ujasiri kuitizama, wanajeshi wa Urusi wajichukua video wakimchinja mfungwa wa vita mithili ya wale magaidi wa kijihadi ambao huchinja watu vichwa kisa dini.

Yaani kama kuna Mkristo bado anawashabikia hawa jamaa utakua umechizi...jambo la hovyo sana kuingia kwenye nchi ya watu na kuwachinja hivi kama mbuzi, dunia iwape support hawa Ukraine kabisa bila kulegeza.....

https://uaposition.com/wp-content/uploads/2023/04/execution-of-Ukrainian-war-prisoner.mp4?_=1
Saafi sana soldier, hakuna huruma vitani
 
Back
Top Bottom