kichwa

Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

    Salamu tele, Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi. Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mama adaiwa kuua kichanga, azika kichwa, aficha kiwiliwili

    Mkazi wa Kijiji cha Nayeme wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, Melania Tarimo anatuhumiwa kumuua mtoto wake anayekadiriwa kuwa na miezi miwili au mitatu kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili. Melania (32), anatuhumiwa kufanya mauaji hayo akishirikiana na Priscus Daniel, maarufu...
  3. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Jere Van Dyk: Nilichukuliwa na Taliban mara nilipokubali kukatwa kichwa kitu cha ajabu kilitokea

    Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa. Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Pandikizi la Urusi, Crimea laponea kuuawa, mwendo wa kuishi kwa uwoga na kugeuza geuza kichwa

    Kiongozi aliyesimikwa na Urusi walipoiba ardhi ya Crimea ameponea kuuawa na jasusi la Ukraine, kwa sasa kila pandikizi anaishi kwa uwoga na kuangalia angalia nyuma na kugeuza geuza kichwa maana hakuna aliye salama, ukizingatia Putin mwenyewe drones zimewahi kumkuta ikulu..... Haya yote yataisha...
  5. A HUMBLE LEADER

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tabia za wanawake wa Kinyarwanda na Kinyantuzu kabla zijaingia kichwa kichwa

    Naomba tuelewe mada na tuje na majibu serious, kuna maamuzi magumu nataka kuchukua kwa mara nyingine tena. Huyu nilienae nataka nimuweke dormant asije niua huko mbeleni, kuna dalili sio nzuri! Mwenye kuwajua hao anitonye. Natanguliza shukrani!
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa Mhariri Wa Gazeti Ungeweka kichwa kipi mbele na mwisho?

    Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP) FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi) LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike Tiririka
  7. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya...
  9. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Nyonga ya Mama kukosa uwiano na kichwa cha mtoto wakati wa kujifungua

    Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya nyonga ya mama kupitia njia ya uzazi kutokana na fupanyonga iliyobana au yenye umbo lisilo la...
  10. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Lissu asiwe kichwa cha zege asome alama tuu

    Unajua Lissu anajitia hajui kuwa hali iko hivi, Rais Samia 2025 hataki kabisa upinzani mkali, sasa Lissu yeye anakomaa. Mambo tayari yako mezani pale Mbeya, wataka jimbo Sugu apate na Tulia apate. Ukija Arusha wataka jimbo pia Lema apate alipe madeni yake na Gambo apate. Kule iringa Msigwa nae...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

    Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu. Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Akutwa na kichwa na viungo vya siri vya mtu kwenye mfuko

    JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo. Msemaji wa kamandi ya polisi ya Sofala, Dércio Chacate, amesema Watoto waligundua sehemu za miili hiyo kwenye mfuko wa plastiki...
  13. mfate42

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake kweli pasua kichwa aisee, dah balaa

    Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi? Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo balaa. Ukitoa taarifa tabu, usipotoa taarifa ndo Vita kabisa ya urusi na Ukraine dah. No body is...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma: Tofauti yetu na Kenya sisi tumeliwa kichwa

    Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua. Aungurumapo Simba mcheza nani? Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha wabadhirifu, nk? Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir Sisi tuko hapa: Bipartisan talks must end...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

    Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya.... Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu. Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar- iki...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

    Wanabodi, Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipokuwa akiyatenda hayo na kufanya makosa yale, hakuwa yeye, he was insane and possessed by demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa...
  18. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Video ya mfungwa wa vita akikatwa kichwa na wanajeshi wa Urusi

    Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho wa mwanajeshi wa Urusi nchini Ukraine) akimkata kichwa mwanaume aliye hai aliyekuwa amevaa sare ya...
  19. Jett

    JamiiForums Tanzania Single mother bana, tabu tupu

    Samaleko... Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe. Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametufutia laana ya kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo

    Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii ilimfanya Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzifananisha timu zetu na kichwa cha mwendawazimu ambacho...
Back
Top Bottom