Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja.
Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka...
Naanza na East Africa,Kuna wanamuziki ambao tangu niwajue hawajawahi toa ngoma mbovu msijichoshe sana wapo wawili:
Tanzania
Albert Mangwea[A.k.a Mimi] (R.I.P)
Huyu Jamaa hajawahi bahatisha,mbali na Akili nyingi nguvu kidogo,alikuwa na Akili ya kucheza na melody kama Kiroboto ila alikuwa ana...
Nimefika Tabora mara kadhaa sambamba na hilo katika usomaji na ufuatiliaji wa threads za hapa jukwaani, nimebaini pasipo na shaka wala mawaa yoyote yale kuwa mkoa wa Tabora unaongoza kwenye tiba ya upwiru na upatikanaji wa wana upwiru hasa wenye virutubisho mpakato.
Toka kitambo si kwa...
Ni moto, si, tu kwa Upinzani bali pia kwa waliolala na kujibweteka kwa kufanya kazi kwa mazoea ndani ya chama na ndani ya serikali iliyopo mamlakani.
Huyu kijana si tu mwanasiasa bali pia mwanaharakati mahiri nchini. Ana hulka za jino kwa jino, sina hakika kama kabadilika.
kwa maoni yangu...
Samahani nabii Kiboko ya uchawi, mbona nakusikiliza hapa hii kama futuhi?
Aiseee huu ni mchezo wa kuigiza kabisaaa. Eti bibi katoka kijijini amefikia Kwa mwanae, Kuna watoto watatu wamefariki, wawili walishazikwa na Sasa Kuna msiba wa mtoto mwingine,baada ya kumpigia simu nabii ndio anasema...
Wasalaam nyote,
Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa.
Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa.
Basi ni vema walau tuambiane...
Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii.
Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni.
Hili tamasha lilikuwa na malegendary wote wa mzingi wa bongo na walikuwa kwenye ubora wao.
Na ninalikumbuka kama tamasha bora...
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani...
Mafanikio hayana chama Kama wahenga wanavyosema.kitendo cha yanga kufikia fainali ya kombe ya shirikisho n Jambo kubwa kwa maendeleo ya soka la Tanzania lakini Kuna msemo unasema "Roma haikujengwa kwa siku moja" hii Ina maana ndani ya mafanikio ya yanga Kuna mafunzo waliyoyapata kutoka kwa wa...
SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi.
Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
Anaandika Kenge
Salam wanabodi!
Maradhi ni moja ya adui mkubwa wa Taifa letu..kila kukicha maradhi yanaibuka leo utaumwa hiki kesho utaumwa kile..hii yote ni kwasababu ya lifestyle yetu kiujumla.
.Kikawaida maradhi yamegawanyika kwenye makundi mengi yapo ambayo...
Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti.
Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele.
Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
Habari za kushinda wakulungwa!
Hii January ni kiboko.
Au mnaionaje nyie wenzangu.
Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga.
Hii January hata Mimi imenichapa.
Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe.
Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za Sunderland,toronto,rangers na Bournemouth.
Huyu bwana ameushangaza ulimwengu kwa ujumla baada ya kuthibitika kuwa...
Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha,
Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.