kiboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtera: Wavuvi 12 wauawa na viboko kwa kipindi cha kuanzia Februari 2020 hadi Agosti 2021

    Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi. Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Suzuki Grand Vitara: SUV Kiboko ya Mizigo

    Hii Gari Ni cc 1990 tu lakini Ina space kubwa ndani na ni seat 7. Inafaa kwa kazi ngumu. Mpaka ifike Bongo ni 7,000 USD tu. **Kuliko uhangaike na sijui Noah, Alphard mwishowe uonekane Mama Lishe sijui mdangaji chukua Grand Vitara uwe wa kishua
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Facebook kiboko

  4. Candela

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wezi wa simu

    Je umekuwa ukihangaika ulinde vipi simu yako kuepuka wezi wanaokata madirisha usiku wakati umelala. Pengine hukujua tu lakini play store zipo apps nyingi za anti theft. App hizi zinatofautiana uwezo kutokana na developer aim, hapa ntaelezea baadhi ya sifa za hizo app; 1. charger unplugged. Kama...
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

    WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti' Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure. Amesema...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

    Wanabodi, Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!. Msikilize Waziri Gwajima Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?. Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs ametinga fainali ya CAF champions league, kiboko ya vigogo wenye mdomo

    Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza.. Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo.. Kaizer ameshatangulia fainali
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

    RAIS WA JMT MAMA SAMIA KUMSTAAFISHA UENYEKITI WA CHADEMA NDUGU FREEMAN MBOWE IFIKAPO MWAKA 2023. Na; Philipo Mwakibinga Muda kidogo nilijiuliza sana bila kupata majibu juu ya azma na uamuzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe (Mwamba) kutangaza kuwa ifikapo Mwaka 2023 atang'atuka uenyekiti wa...
Back
Top Bottom