kiboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Gregorian chants; Kiboko dhidi ya mashetani na sonona (depression)

    Wakati mmoja nilikuwa na-scroll reels za Facebook ikatokea clip moja ikionesha watawa wa kikatoliki wakiimba Kwa ala za kuvutia sana (angelic voices). Hiyo clip ilikuwa ikimuonesha msanii wa kimarekani Kai Cenat akishangaa jinsi zile sauti zilivyokuwa zinavutia hata Mimi zikanishangaza sana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kiboko kubali au kataa

    Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali. Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Chatgpt kiboko ase

    Nimeshangazwa na hili jibu lake kabisa Dah
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ule Muungano wa BRICS kiboko ya Mabeberu, unapumulia mashine. Unakaribia kuvunjika..

    Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka...
  5. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

    Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani. Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
  6. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Ngugi wa Thiong'o alikuwaje kiboko ya mabeberu huku akiishi kwa mabeberu badala ya Afrika?

    Huyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza eti ni kutukuza mabeberu Hadi akaamua kuandika kwa Kikuyu vitabu vyake badala ya English lengo eti...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Tupo timamu Dege la jeshi kiboko respect Tanzania!

    Hii iwafikie wana vyombo vya usalama.kudos kwao
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa TFF kiboko, wanaramba hata timu za majeshi.

    Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya, Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
  10. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania EA Commercial & Logistics Centre (EACLC) kiboko ya Walanguzi K/Koo

    Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina. **Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mtu kujiita Kiboko ya Wachawi?

    Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee. Sababu za Kimaandiko: Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani 1 Yohana 3:8 – "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani." Yesu...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania AI ya Elon max ya mtandao wa X ! kiboko ya uongo

    Nimeipa kazi ya kutengeneza picha ya sura yangu!! Nilikua naijaribu tu maana hatujawai onana😅😅
  13. long live my love

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Kiwanda cha bati Kiboko:

    Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu. Thanks in advance 🙏🙏🙏
  14. D

    JamiiForums Tanzania Yas fiber ni kiboko cha speed hata starlink hawaoni ndani. check hizi speed

    Yas ni balaa na nusu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

    Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo. Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system. Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
  17. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Diwani wa Kata ya Nyasura Wilayani Bunda Kiboko Magigi

  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Majizzo kiboko kaja na speaker zake Kali

    𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 𝗸𝗮𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝘀𝗽𝗲𝗮𝗸𝗲𝗿 𝘇𝗮𝗸𝗲 Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri 🔊. Majizzo ameamua kuleta speaker izo ambazo zenye kutumia teknolojia ya Bluetooth kuweza kukupatia...
  19. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Maji Marefu Kiboko ya Wachawi

  20. Mpenda vurugu

    JamiiForums Tanzania Hakuna mnyama anae mshinda kwa mbio kama huyu Ngiri nguruwe mwitu Simba chui hapa kiboko yao V18

    Anaitwa Nguruwe poli ama NGIRI Ni mnyama anae trend sana kwenye Kila Reels ya social media. Na anauwezo wakukimbia haijalishi adui ametokezea wapi, na anauwezo wakumtisha yoyote adui awe simba ama fisi au chui na viboko wanamuogopa. Napenda anavyo kimbia mwamba. Wewe unamjuaje? Karibu...
Back
Top Bottom