kiboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mfate42

    JamiiForums Tanzania KERO Huyu babu wa radio Free Africa ana tofauti gani na kiboko ya wachawi? na je kwanini hafungiwi?

    Habari za muda huu ndugu wana JamiiForums, Naomba kuuliza hivi huyu mzee anaejiita babu, ambae anarusha matangazo yake ya uganga wa kienyeji kupitia kituo Cha Radio Free Africa, Mwanza ana tofauti gani na yule aliyefungiwa kule Buza, anayejiita kiboko ya wachawi. Nimejaribu kusikiliza kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi aingia mtegoni

    Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye. Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

    Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai Huyu Baba...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali imemwonea Kiboko ya Wachawi

    Hoja 3 zilizowekwa kwenye barua ya kufungwa kwa Huduma ya Kiboko ya Wachawi ni hoja mfu. Binafsi nachukia na kupata hasira ninapoona mtu anafanya kazi ya Kristo kwa kuwalipisha watu Senti, kuwauzia watu vifaa vya kiroho au kusisitiza sadaka za kufunguliwa, sadaka za kubarikiwa, sadaka za...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Bado sijaona kosa alilofanya Kiboko wa Wachawi am ambao wapinzani wake wa kilokole hawafanyi

    Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya. Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika. Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Serikali chukueni hatua za dharura na haraka dhidi ya Kiboko ya Wachawi kinachoendelea hapa buza mtalaumiwa

    Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti? Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwamposa naona sasa baada ya Mpinzani wako na uliyekuwa ukimuogopa 'Kiboko ya Wachawi' Kufungiwa na Serikali, umenenepa ghafla

    Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

    Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili USSR
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

    Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo. Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanaoanguka kanisani ni wanaopenda, wapiga picha na mabodigadi hawaanguki kwa sababu hawataki

    Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja. Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa kitimoto kiboko ya wachawi.

    Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha.
  14. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kiboko! Kwanini nasema hivyo?

    News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya Chadema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc. Machawa CCM walipagawa kote kwenye upenyo wa kuandika lolote kuhusu vikao hivyo! JF ndiyo usiseme...
  15. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Nauliza Kwanini Simba huwinda twiga, tembo na kiboko lakini sio faru?

    Wakuu, Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu. Nnachojiuliza, Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula? Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliempata mara hii ni kiboko!

    Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. Yeye akilewa ni amapiano Tu!. Atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi nakucheza amapiano wapi na wapi!, mshangazi wa watu anacheza mpaka na ile style ya kuchezesha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo. chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Pajero 3.2 LTRs kiboko ya mabishoo

    Hii chuma ni moto wa kuotea mbali. 1. Powerful, 2. High ground clearance, 3. 7-seater, 4. Reliable.
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa. Sasa changamoto anataka kila...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Pasta Dominiki 'Nabii Kiboko ya Wachawi' ni nani? Nguvu yake ni ya Kweli? Siyo Msanii kama wa Kawe na Kimara Temboni?

    Kwa Nyomi Kubwa alilonalo sasa na Nyota yake inavyoanza Kungaa huku Akipendwa na Kukubalika zaidi kwakuwa huwa Habahatishi kwa Kukutajia Mbaya wako (hata kama ni Mzazi au Nduguyo) huku Akiwaumbua na Kukutajia Wachawi wako na akikuombea na kufanikiwa hawa wa Kawe na Kimara Temboni wasipomkalia...
Back
Top Bottom