Hii tiba ni kiboko ya Magonjwa sugu. Itumie

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Anaandika Kenge

Salam wanabodi!
Maradhi ni moja ya adui mkubwa wa Taifa letu..kila kukicha maradhi yanaibuka leo utaumwa hiki kesho utaumwa kile..hii yote ni kwasababu ya lifestyle yetu kiujumla.

.Kikawaida maradhi yamegawanyika kwenye makundi mengi yapo ambayo yanaambukizwa,Yanayorithishwa,Yasioambukizwa na haya mara nyingi ndio yanakua maradhi Sugu
flyerdesign_04032023_205327.png


Sasa Bila kupoteza muda ndugu msomaji Tiba yenyewe nayozungumzia ni hii THERMOTHERAPY hii tiba inapatikana hospital kubwa na Physiotherapy clinics mbalimbali lakini lengo la Uzi ni kukuonesha Vitanda ambavyo vinatumia mionzi na joto kutibu(Mionzi salama isiyokuwa na madhara kwa binadamu) vitanda hivyo wanaviita Ceragem V3 bed vinafanya kazi kwa kuscan UTI WA MGONGO kwa kuwa Spinal cord(uti)Ni makutano ya mishipa ya fahamu mwilini na ni kama injini ya mwili...!!

images (2).jpeg

Mbali na Vitanda hivyo kuna vifaa vingine kama mikeka,belt na viti Ceratonic mat,Ceratonic chair,Ceratonic belt n.k

Wakuu Nisiwachoshe kwa porojo kifupi Tiba hii ni mujarabu kwa magonjwa sugu mfano presha,Sukari,Lakini vilevile kwa wenye Maumivu ya mgongo kiuno na viungo nakushauri tafuta sehemu wanapotoa huduma hii utanishukuru badae.Bila kuwasahau watu waliopooza(kuparalaiz)Hii ni suluhisho kwenu CHIZI VITABU
IMG_20160206_180927.jpg


Watu gani wanaweza kutumia tiba hii?
Jibu
Watu wote ispokuwa
1.Watoto chini ya umri wa miaka 12
2.Wajawazito
3.Waliotoka kufanyiwa opareshen mpaka baada ya muda wa miezi 6 kupita

NB:Kwa wajawazito unaruhusiwa kutumia Mikeka(Ceratonic mat) inasaidia sana kupunguza Complication za ujauzito kama vile maumivu ya Nyonga,Homa za mara kwa mara n.k

Je Wapi napata huduma hii?
Kwakweli nisiwe mnafki huduma hii ni ngumu sana kupatikana lakini ugumu ni unatokana na mkoa uliopo kwa DSM wanapatikana K/koo kwa mwanza wanapatikana Mwaloni huduma hii ni bure na kuna option ya VIP na kununua lakini kwa kununua bei zake zimesimama haswaa ukitajiwa unaweza kutoka nduki mfano icho kitanda tu kinauzwa Million 6 za Kutanzanzania....!!


Nawasilisha
UZI tayari

View attachment 2537411
 
Back
Top Bottom