kibali

The Kibali Gold Mine is a combined open pit and underground gold mine in the Haut-Uélé province of the northeast Democratic Republic of the Congo. By area, it is one of the largest in Africa. The mine is named for the nearby Kibali River.

View More On Wikipedia.org
  1. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali Hawaruhusiwi Kufanya Kazi za Uwakili wa Kujitegemea Isipokuwa kwa Kibali Maalum

    Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths? Je, Mawakili wa Serikali au Wanasheria walio katika utumishi wa umma wanaruhusiwa kusajiliwa na kuingizwa katika Daftari la...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania STARLINK yapata kibali Nigeria na Mozambiki.

    Hivi karibuni kampuni ya kiteknolojia ya kusambaza huduma za internet kwa njia ya satellites ya starlink inategemea kuanza kuhudumia nchi hizo tajwa hapo juu. Inatajwa kuwa nchi hizo zitakuwa za kwanza barani Africa kutumia huduma hii. C.E.O wa starlink bwana Elon Musk alitoa taarifa hiyo ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Salaam wakuu Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi. Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili. Kama Kuna mtu ameshawahi kufanya hili au anafanya export hiyo naomba mrejesho wa gharama zake.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

    Habari ndugu, kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka). Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya magari JN Star yapata kibali cha TBS

  7. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Postal wamenikatalia kusafirisha nusu kilo ya kahawa mpaka kibali bila kuniambia kibali Cha nini

    Habari wakuu? Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi. Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
  8. msadapadasi

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kibali cha kutumia gari nchi jirani

    Wakuu naomba kuuliza Mimi ninaishi Mbeya. Je, utaratibu upoje kama nataka kutumia gari kutoka Malawi au Zambia ikiwa na usajili wa Malawi, kuna namna ya kulipia iwapo nataka kutumia kwa miezi kadhaa then narudisha. Msaada tafadhali
  9. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali, Gerald Kusaya: Baadhi ya Watanzania waliomba kibali kwenda kutibiwa India na wakabeba madawa ya kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)imesema katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya Watanzania walitumia mwanya huo kujifanya Wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini India ilhali wakiwa wamebeba dawa za kulevya. Hata hivyo licha ya kutumia mbinu ya kupata vibali vya...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama gari yenye uwezo wa kupaa. Imepewa kibali huko Slovakia

    Gari inayopaa yenye uwezo wa kuruka kwa zaidi ya futi 8,000 (sawa na mita 2,500) na kukimbia kwa kasi ya zaidi ya 100mph (sawa na km 160 kwa saa) imeidhinishwa na kupewa cheti cha kuiruhusu kufanya safari za angani na mamlaka ya Usafiri ya nchini Slovakia. Gari hiyo iliyoundwa na Prof.Stefan...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

    Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora. Licha ya malalamiko ya...
  14. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Mkenda baada ya kukemewa ameenda wapi?

    Waziri machachari wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kukemewa na Rais Samia Suluhu kwa kitendo chake cha kukataa kutoa kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi kuwa ni nonsense haonekani tena je ameenda wapi? Sasa hivi kila kona anayeonekana ni Naibu Waziri Hussein Bashe tu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo

    Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake. Binafsi naamini hata hii habari yenye...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kibali cha Maisha

    KIBALI CHA MAISHA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Maandiko haya ni bure wala isijesemwa yalitolewa ili nijipatie faida ya Fedha au faida yoyote Ile. Yalipatikana Bure nami nitayatoa bure, ili kila asomaye ayapate Kwa gharama Sawa na bure hata Kama isipokuwa bure kabisa. Nayo yawe busara Kwa walio...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Je, nahitaji kibali kumiliki silaha hii?

    Hii kitu nayo nahitaji kibali kwa maana ya licence to carry or licence to own. Wazee wa kamati ya ulinzi na usalama tukumbudhane, nataka kuagiza kwa mchina, manake majuzi vibaka wameua mbwa wangu na wakaingia uani na kukata dirisha, bahati madifisha yangu sikutumia flat bar bali nondo, hivo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nyakati zaja, tutakapoamua kumwona Mbowe gerezani hadi uwe na kibali maalum

    WAAFRIKA wamezaliwa na roho ya ajabu sana, wamezaliwa na roho yakuumizwa na mafanikio yako Hadi kufikia mahali kutumia fedha au madaraka kukukandamiza. Kitendo cha viongozi wa dini kusimama na kutamka adharani kwamba Mbowe yupo mahabusu kinyume Cha sheria kwa kesi za kubumba kinawaumiza Sana...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawashikiria wanachama BAWACHA walokuwa wanafanya mazoezi ya viungo (jogging)

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, ACP Jumanne Murilo limekiri kuwashikilia wanachama wa BAWACHA waliokuwa wanafanya mazoezi ya viungo(jogging) na mwanahabari Harlod Shemsanga wa MGAWE TV. "Walikuwa na viashiria venye kupelekea uvunjifu wa amani" "Nimepokea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kibali gani natakiwa kuwa nacho kuagiza vyakula nje ya nchi

    Msaada wadau.nipo mbioni kiagiza bidhaa za chakula..raw material za kupikia vyakula hivi natakiwa kuwa nakibali kipi?.asanteni
Back
Top Bottom