Je ni kibali gani natakiwa kuwa nacho kuagiza vyakula nje ya nchi

Mrs Dee

Senior Member
Oct 7, 2017
199
500
Msaada wadau.nipo mbioni kiagiza bidhaa za chakula..raw material za kupikia vyakula hivi natakiwa kuwa nakibali kipi?.asanteni
 

Trendz

Senior Member
Jun 27, 2021
103
250
Msaada wadau.nipo mbioni kiagiza bidhaa za chakula..raw material za kupikia vyakula hivi natakiwa kuwa nakibali kipi?.asanteni

Mi sio fani yangu nimepita kusoma uzi tu, ila sasa umeandika kuagiza
Kuagiza inamaana kutoka nje ya nchi kuingiza Tanzania au Kuagiza kutoka Tanzania kwenda nje ya nchi ??
 

Trendz

Senior Member
Jun 27, 2021
103
250
Kuingiza nchini ku import

Kwa mimi najua kwa upande wa china ukinunua kitu mfano hivyo vyakula ndani wanaweka makaratasi ya uhakiki
Pia ukituma mzigo cargo uliyotumia inakutolea mpaka nje godown yani wewe unafata mzigo tu hakuna anayekuuuliza

Sasa fatilia nenda mabibo kule kuna taasisi inaitwa TFDA sasa imebadilishwa jina inaitwa TMDA wao wanaingiliana na TBS wanakupa muongozo mwanzo mwisho
Hawana matatizo kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom