kibali

The Kibali Gold Mine is a combined open pit and underground gold mine in the Haut-Uélé province of the northeast Democratic Republic of the Congo. By area, it is one of the largest in Africa. The mine is named for the nearby Kibali River.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo: Tulikosa Kibali kushiriki Uchaguzi mkuu 2020

    Leo Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Mkutano mkuu wa Jumuiya ya Kikristo na miongoni mwa maombi yao ni kushiriki kwenye Demokrasia na Chaguzi. Jumuiya hiyo imesema ushiriki wa taasisi katika uchaguzi wa kidini haukuwepo kabisa kutokana na kukosa kibali kutoka mamlaka husika na wanaomba...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani askari mmoja alinde watu 2000, polisi wapewe kibali cha kuajiri

    Habari wanabodi..! Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa. Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Je, Ole Sabaya alipewa kibali na Magufuli kuhujumu uchumi?

    Anaandika Wakili msomi Jonh Mallya, Ni usiku wa manane. Lengai Ole Sabaya amelaza kichogo chake kwenye kiganja. Mwili wake ameulaza juu ya sakafu baridi akitazama dari la chumba cha mahabusu ambacho taa zake hazizimwi usiku-kucha. Kelele za wenyeji zinamghasi, lakini hazimtoi kwenye lindi la...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kufuga farasi inahitajika kuwa na kibali?

    Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso, kanisa lililojengwa bila kibali lajiunganishia maji na kuiba maji ya Tuwasa mchana kweupe

    Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete. Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu...
Back
Top Bottom