Ahsante mkuuKulingana na muelekeo wa masomo yako ya degree ya kwanza, cha kwanza identify chuo. Namaanisha, kama ulisoma kilimo unaweza anza na SUA au kile cha Mwalimu Nyerere cha Butiama. Kama ulisomea uhandisi, unaweza check na MUST, DIT, UDSM-COET, ARDHI etc.
Cha pili, kama GPA inaruhusu, vyuo vya serikali ni kuanzia 3.8 kupanda juu, then unatafuta anuani ya makamu mkuu wa chuo, (mara nyingi unazipata bure online), then unaomba kwa nafasi unayotaka kuingialia.
Cha mwisho unatuma barua ukiambatanisha na vyeti vyako vya shule tokea O-level, then unakaa chini na kurelax kusubiri majibu.
Mkuu hujatoa maelezo ya kutosha ili upate msaada. Unataka kuhamia kwa misingi ipi?Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari(halmashauri).
Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
Hii GPA ni ya masters au undergraduate?Zpo mkuu ni 4.5
Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari(halmashauri).
Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
Ahsante mkuu nimekupata vizuri Sana,Kama mabosi wako sio wanoko, unaweza kuipitishia kwao kuongeza mkazo zaidi. Hili huwa ni lazima, japo unaweza kufanya kimya kimya.
- Tambua chuo na program zinazotolewa kama zinaendana na masomo uliyosomea.
- Angalia unaomba kama nani?! Tutorial Assistant (ukiwa na Bachelor degree) au Assistant Lecturer (Masters degree) na kadhalika, bila kusahau vigezo vyake.
- Andika barua rasmi ya kiofisi kuulizia kama kuna nafasi ya kuhamia kwa cheo na eneo la utaalamu kwenye hicho chuo.
Mara nyingi vyuo hutangaza nafasi za kuhamia pia. Hii ni nafasi nzuri zaidi, maana huelekeza hadi namna ya kuomba kuhamia, japo process sio ngumu.
Barua hii lazima ipitie kwa mwajiri wako wa sasa, akipitisha kwa kukubali ombi lako, imeisha hiyo mzee.
- Baada ya kuandika barua ya kuulizia nafasi ya kuhamia, kaa utulie usubiri majibu. Utajibiwa kwa maandishi na utaratibu wote utapewa, lakini mara nyingi utaelekezwa kuandika barua rasmi ya kuomba kuhamia hiyo taasisi. Utaiaddress hii barua kwenda utumishi, ukiambatanisha barua uliyojibiwa na taasisi kua kuna nafasi ya kuhamia.
Kama kuna upungufu wowote katika maelezo yangu, wadau wataongezea kukupa mwongozo zaidi.
- Hadi hapo, utasubiri tu barua ya uhamisho toka utumishi, halafu unaenda kureport kituo kipya cha kazi.
Ahsante Kwa maelezo mazuri Sana umetusaidia wengi1. Tambua Chuo na programs zinazotolewa kama zinaendana na masomo uliyosomea
2. Angalia unaomba kama nani?! Tutorial Assistant (Ukiwa na Bachelor degree) au Assistant Lecturer (Masters degree) na kadhalika bila kusahau vigezo vyake
3. Andika barua rasimi ya kiofisi kuulizia kama kuna nafasi ya kuhamia kwa cheo na area of specialization kwenye hicho chuo
Kama mabosi wako sio wanoko unaweza kuipitishia kwao kuongeza mkazo zaidi, hili hua ni lazima japo unaweza kufanya kimya kimya
Mara nyingi vyuo hutangaza nafasi za kuhamia pia, hii ni nafasi nzuri zaidi maana huelekeza hadi namna ya kuomba kuhamia japo process sio ngumu
4. Then ukishaandika barua ya kuulizia nafasi ya kuhamia kaa utulie usubiri majibu, utajibiwa kimaandishi na utaratibu wote utapewa lakini mara nyingi utaelekezwa kuandika barua rasmi ya kuomba kuhamia hiyo taasisi, utaiaddress hii barua kwenda utumishi ukiambatanisha barua uliyojibiwa na taasisi kua kuna nafasi ya kuhamia
Barua hii lazima ipitie kwa mwajiri wako wa sasa, akipitisha kwa kukubali ombi lako imeisha hiyo mzee
5. Hadi hapo utasubiri tu barua ya uhamisho toka utumishi then unaenda kureport kituo kipya cha kazi
Kama kua sehemu maelezo yangu yana upungufu basi wadau wataongezea kukupa mwongozo zaidi
Umepita mulemuleKama mabosi wako sio wanoko, unaweza kuipitishia kwao kuongeza mkazo zaidi. Hili huwa ni lazima, japo unaweza kufanya kimya kimya.
- Tambua chuo na program zinazotolewa kama zinaendana na masomo uliyosomea.
- Angalia unaomba kama nani?! Tutorial Assistant (ukiwa na Bachelor degree) au Assistant Lecturer (Masters degree) na kadhalika, bila kusahau vigezo vyake.
- Andika barua rasmi ya kiofisi kuulizia kama kuna nafasi ya kuhamia kwa cheo na eneo la utaalamu kwenye hicho chuo.
Mara nyingi vyuo hutangaza nafasi za kuhamia pia. Hii ni nafasi nzuri zaidi, maana huelekeza hadi namna ya kuomba kuhamia, japo process sio ngumu.
Barua hii lazima ipitie kwa mwajiri wako wa sasa, akipitisha kwa kukubali ombi lako, imeisha hiyo mzee.
- Baada ya kuandika barua ya kuulizia nafasi ya kuhamia, kaa utulie usubiri majibu. Utajibiwa kwa maandishi na utaratibu wote utapewa, lakini mara nyingi utaelekezwa kuandika barua rasmi ya kuomba kuhamia hiyo taasisi. Utaiaddress hii barua kwenda utumishi, ukiambatanisha barua uliyojibiwa na taasisi kua kuna nafasi ya kuhamia.
Kama kuna upungufu wowote katika maelezo yangu, wadau wataongezea kukupa mwongozo zaidi.
- Hadi hapo, utasubiri tu barua ya uhamisho toka utumishi, halafu unaenda kureport kituo kipya cha kazi.
Maelezo mazuri kabisa... na je, kunakuwa na usaili?Kama mabosi wako sio wanoko, unaweza kuipitishia kwao kuongeza mkazo zaidi. Hili huwa ni lazima, japo unaweza kufanya kimya kimya.