Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya.
Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo.
Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
Habari Wana JF,
Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali.
Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
=====
Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .
Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
Ikiwa ni takriban wiki mbili tangu akutwe na hatia katika mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd, Derek Chauvin ameomba kesi yake kusikilizwa upya.
Mwanasheria wa Chauvin, Eric Nelson, amesema uendeshaji wa kesi dhidi ya Polisi huyo wa zamani haukuwa na haki akidai kulikuwa na makosa ya...
Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani.
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
Mahakama ya wilaya ya Mkoa wa Arusha imemwachia huru mfanyabiashara Maarufu wa madini ya Tanzanite jiiini Arusha Lucas Mdeme(46) na mwenzake Nelson Lyimo(58) waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka sita likiwemo la uhujumu uchumi baada ya upande wa mashtaka kudai haina Nia ya kuendelea nao katika...
UWEZEKANO WA KUBAMBIKIZIWA KESI.
Na Bashir Yakub, Wakili
+255 714 047 241.
Hariri Mohammed Hariri na mke wake Muna Said Omary walikamatwa tarehe 1 Machi 2018 na kushitakiwa kwa kukutwa dawa za kulevya aina Heroin Gram 214.11.
Katika kesi hiyo ya Uhujumu uchumi Namba 2/2020 ushahidi...
Ni swali ambalo frankly speaking sina jawabu lake la moja kwa moja.
Wabobezi wetu wa masuala ya Constitutional Law watusaidie. Alternatively, kama kuna uzi wowote humu jamvini unaotoa mwongozo katika hili please share.
Mimi na wenzangu kadhaa tumedhamiria kwa dhati kabisa kufungua kesi dhidi...
Mbunge Agnesta Kaiza ametaja ubambikizaji wa kesi nyingi za jinai kuwa sababu mojawapo ya mrundikano katika magereza. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma.
Amefafanua, "Kila leo unasikia fulani ana kesi ya Uhujumu Uchumi. Mke na Mume wakipigana nyumbani wakifikishwa Mahakamani unaambiwa umehujumu...
Ilikuwa ni Oktoba 28, 1958 mjini North Carolina US ambapo watoto wa kiume wawili wenye asili ya Afrika David Simpson (na Hanover Thompson (9) raia wa Monroe walipewa kesi kwa kumtazama tuu binti wa kizungu wa umri wa miaka 7 Sissy Marcus.
Mama wa binti huyo Bernice Marcus aliwashtaki watoto...
Husika na kichwa cha habari wana jf
Mimi ni kijana mwenzenu ninae tafuta hela kwa hali na mali, mwaka 2013 nilifanikiwa kununua eneo lenye ukubwa hekari 25 wilaya ya Mvomoro kata ya Kimambira kijiji menge mwaka 2016 eneo hili nikawa nalima matikiti na nyanya nikawa najipatia mapato...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 23/04/2021, MAHAKAMA KUU AMEFUTA MASHTAKA 14 YA MASHEIKH.
Mawakili wanaowatetea Masheikh wamezoa ushindi mkubwa leo Mahakani katika mapingamizi waliyoweka dhidi ya upande wa Jamhuri.
Mapingamizi hayo yalikuwa dhidi ya...
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila ya kuwa na ushahidi na kupelekea kuwepo kwa mahabusu wengi gerezani na kesi kuchukua muda mrefu...
Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu.
Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi alimwekea goti shingoni George Floyd kwa dakika tisa na sekunde 29 alipokuwa akimkamata na kusababisha...
Jamaa yangu ameenda nishtak kuwa nmemtapeli tsh mil 15. Yaani jamaa hapo tu nishamshinda. Hiyo pesa alinipa tuagize mzigo flani Congo. Tuliyempa hajaonekana na simu haipatikani.
Kesi yangu imesomwa mi sikuwepo ila mwanasheria wangu kaja kunambia mashtaka yalivyo. Nmempa mwanasheria pesa yake...
Leo katika kongamano la viongozi wa dini ukumbi wa Chimwaga Dodoma, Mufti wa Tanzania, Abubakari Zuberi alipata nafasi ya kusema machache na mojawapo aliongelea wahujumu uchumi nyakati za uongozi wa Rais Magufuli.
''Wenyewe ni mashuhuda, kuna mijitu humu ilikuwa na kesi ya kuhujumu uchumi, kuna...
Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya kulevya, ujambazi na Utakatishaji fedha, Ile Taasisi ya vijana inayoongoza Barani Africa kwa sasa...
Msanii Baba levo anefunguka leo akiwa kwenye press conference yakutangazwa kuwa balozi mpya wa Soka bet amesema baada ya kushinda hii kesi aliyoshitakiwa na Harmonize atamfungulia mashitaka harmonize ya kuchafua brand yake.
Akafunguka zaidi kuwa Harmonize amekurupuka kumshitaki bila kutumia...
Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao
Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.