kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd kutolewa leo

    Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd inatarajiwa kutolea leo mchana jijini Minneapolis. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi tayari amepatikana na hatia ya mauaji ya George. Mwezi April 2020 Derek akiwa anamkamata George kwa tuhuma za wizi dukani alimwekea goti shingoni kwa zaidi ya...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Mahakama hazikuwa zikitenda haki kuhusu kesi za Uhujumu Uchumi

    Ndugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini alifadhili kampeni za UKAWA. Anaamini hiki ndicho kilichomponza. Mwaka 2018 alikamatwa na baadhi ya...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watuhumiwa tunabambikiziwa kesi za dawa za kulevya

    Saidy Hemed Abubakar amefikishwa katika mahakama ya wilaya Jijini Tanga akikabiliwa na makosa mawili ya kusafrisha dawa za kulevya lakini akaishushia tuhuma nzito Tume ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kwamba watendaji wake si waadilifu kwani wamekuwa wakiwabambikiza watu kesi za dawa...
  4. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa rushwa

    Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa. Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma. Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania DPP amewafutia kesi waliodaiwa kusafirisha wenye ulemavu, kuwatumikisha

    By Hadija Jumanne Summary Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa zaidi waendelee kufutiwa mashtaka na kuachiliwa Huru

    Waswahili walisema ndo ndo ndo si chururuu. Wala Lila na Fila havikupata kutengamana. Hii ikiwa ni kwa maana halisi ya kuwa awamu ya sita si awamu ile ambayo mahabusu walikuwa wakipigiwa mahesabu kuwa chanzo cha nguvu kazi. Eti kuwa asiyefanya kazi na asile. - DPP amewafutia kesi waliodaiwa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

    Chama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu kuwaonya juu ya namna wanvyoripoti muendelezo wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Hivi karibuni...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Aliyeweka ujumbe huu anatafuta kesi na watu wa usasa

  10. B

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waendesha Mashtaka kugeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka kunatia doa mfumo wa haki nchini

    Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi? Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
  11. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Mtaani wanauliza, kwanini wanaoachiwa ni matajiri wenye kesi za ufisadi?

    Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa. Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi? Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela! Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufutiwa kesi ya Uhujumu Uchumi, Raia wa China watoka Nduki mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Washtakiwa hao ambao wote ni raia wa China ni Jin Erhao...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuahirishwa kwa kesi Mdude ni kielelezo cha kiburi cha Watumishi wa Umma Tanzania

    Mahakama inapanga tarehe ya kusoma hukumu ya mtuhumiwa, tarehe inafika na mtuhumiwa anafika mahakamani the mahakama inadai hukumu haijakamilika na mtuhumiwa kurejeshwa rumande kwa zaidi ya siku 14. Hakimu Kama huyu analipwa pesa na serikali na hakuna sehemu utasikia viongozi wake wakilalamika...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

    Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimepanga kikao cha dharura Juni 18, 2021 ili kujadili waliopata chanjo ya ~COVID19 ya Pfizer na Moderna ambao wamevimba moyo Watu 226 wameripotiwa kuwa na tatizo la myocarditis a pericarditis baada ya kupata chanjo. Wengi wameripotiwa kupona lakini...
  17. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Radio 5 na waliokuwa wafanyakazi wake kuunguruma tarehe 11 Juni, 2021

    MAHAKAMA Kuu masijala Ndogo ya kazi Kanda ya Arusha kesho June 11 inatarajia kusikiliza kesi ya msingi ya maombi ya wafanyakazi wapatao saba kuomba mahakama hiyo kukamata mali za kituo Cha Tan Communication Media inayo miliki kituo cha utangazaji cha Radio Five kilichopo Njori jijini Arusha...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea kutokuwepo kwa kesi za aina hii?

    Habari wana jukwaa, naomba nijielekze kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilikuwa ni nadra sana kupita week tatu, mwezi au miezi miwili bila kukamatwa na hatimaye kupelekwa mahakamani raia wa kawaida, wanasiasa au wanaharakati wakikabiliwa na...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Kigoma walalamikiwa kuwabambikizia kesi za uraia wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma ujiji mkoani Kigoma wamelalamikia vitendo vya baadhi ya maafisa wa idara ya uhamiaji mkoani Kigoma kufanya vitendo vya uonevu kwa kuwakamata na kuwabambikia makosa ya uraia wananchi ambao ni raia halali wa Tanzania huku wakiwaacha watu...
  20. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Nilipoingia mahabusu kwa kubambikwa kesi ya kuiba na kuvunja

    Siku hiyo kulikuwa na mechi ya Simba na Yanga, mechi hiyo iliisha kwa Simba kushinda goli 1 kwa nunge goli la MK14. Ilikuwa ni mida ya saa kumi ndio kulikuwa na hiyo mechi hapo palikuwa ni lodge na bar ya mshua na Mimi ndio msimamizi au meneja wa hapo. Wakati nipo bize nikitazama mpira huo...
Back
Top Bottom