kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Zumaridi asahaulika gerezani asababisha kesi yashindwa kusikilizwa Mahakamani

    Kesi namba 10 inyomkabili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake 8 imeshindwa kuendelea Oktoba 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kutokana na Shahidi namba sita ambae pia ni mshtakiwa katika kesi hiyo, Suzana Simon kutoletwa Mahakamani hapo. Zumaridi na...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Mganga wa Jadi ahukumiwa kifo kwa kuua watoto wawili

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya James Kapyela ambaye aliwalawiti watoto hao kabla ya kuwaua na kutupa miili yao kwenye pagala liliopo nyumbani kwake Machi 23, 2019. Jaji Thadeo Mwenempazi alisema Mahakama imeridhishwa na mashahidi 11 wa Jamhuri waliothibitisha kuwa Mganga aliwaua...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa Polisi; Umewahi kupigwa, kuteswa, kudhulumiwa, kukomolewa au kubambikiwa kesi bila kosa? Weka mkasa wako hapa

    Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja. Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yakamilisha upelelezi dhidi ya Sabaya, kesi kutajwa tena leo

    Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi umeshakamilika. Mwananchi lilimtafuta Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi kujua mwenendo wa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

    Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho. Kesi hiyo iliahirishwa kwa madai kuwa shahidi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Bara, Hawa...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

    Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi. Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kitengo kinachodaiwa kuua watu Kenya waomba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi (DCI) ajumuishwe kwenye kesi

    Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo miaka mitano kwa kumchoma mikono mtoto wake

    Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14. Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Zumaridi yakwama kusikilizwa leo Oktoba 17, 2022 kisa maumivu ya mguu

    Kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake imeshindwa kuendelea leo Oktoba 17, 2022 baada ya mtuhumiwa huyo kudai kuwa ana maumivu makali ya mguu na kuomba kesi hiyo ihairishwe ili apate matibabu. Mfalme Zumaridi alitarajiwa kuanza kujitetea leo katika kesi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi: Ndugu ni chanzo cha kesi za Ukatili wa Kijinsia kufutwa

    Afisa Polisi Jamii kutoka Mkoa wa Kipolisi Ilala Eugene Mwampondele amesema Kesi 949 kati ya 1,271 zilizopelekwa Madawati ya Jinsia katika Mahakama ya Wilaya mwaka 2018/21 zimeondolewa. Ametolea mfano takwimu za matukio ya Ukatili wa Kijinsia katika Kituo cha Stakishari pekee yameongezeka hadi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 10 kuhojiwa kesi ya Padri anayedaiwa kubaka mtoto

    Mashahidi hao ni wa upande wa mashtaka kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) dhidi ya Padri Sostenes Bahati huku upande wake ukisema utakuwa na ushahidi wa mshitakiwa kutokuwepo eneo la tukio siku ya tukio. Ushahidi huo unaofahamika kama Alibi, unahusisha mshtakiwa kujitetea kuwa alikuwa...
  14. Dezoizo52

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  15. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

    Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake. Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zumaridi na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imewakuta na kesi ya kujibu, Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake nane katika mashtaka matatu yanayowakabili. Washtakiwa katika kesi hiyo ya Jinai namba 12/2022 ni Zumaridi, Amos Kailembo, Isaya John, Isaka Mafuru, Neema Julian, Suzana Simon...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jebra Kambole: Tutakata Rufaa kesi ya kuondolewa wafugaji Loliondo

    Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022 ambayo ameeleza kuwa kesi yake GN 421 ya mwaka 2022 bado ipo Mahakamani. Kambole amesema wameona...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali kesi ya Wamasai kuondolewa Loliondo

    Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu. Walalamikaji wa Wamaasai walitaka Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) iizuie serikali ya Tanzania kuwaondoa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moshi: Afungua kesi kuzuia kadi na michango ya harusi

    Mfanyabiashara maarufu wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, James Mushi amefungua maombi madogo akiiomba Mahakama ya Wilaya hiyo itoe zuio la kusitisha usambazaji wa kadi na michango ya harusi ya mtu anayedaiwa kutumia jila lake na familia yake kuchangisha michango hiyo. Akiwasilisha maombi...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC yaajiri CEO Mpya mwenye 'Lundo' za 'Kesi' mbalimbali za 'Uhalifu' na 'Hatari' Nyinginezo

    CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA. Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali. 1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲 - Andre Mtine alikamatwa na Mamlaka nchini...
Back
Top Bottom