Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 4,177
- 11,504
Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).
Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!