Mfumo mbovu wa mahakama wakwamishan kesi ya kupinga zuio maandamano Mbeya

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
madeleka.png



Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.

F-j0009XMAEny96.jpg
 
majaji wa sasa nchini wamekuwa walitumiwa mno mno na wanasiasa!
Hakuna tena haki ktk mahakama zetu bali hisia za kisiasa ndio zinaongoza!
Wanachotaka watawala wa ccm ndicho kunakuwa!
Ni aibu sana sana kwa Majaji wa Tz ktk tasnia ya kutoa haki!
 
Back
Top Bottom