kero

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  2. doctor mwanafunzi

    Kero ya ukosekanaji wa maji

    Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza...
  3. MamaSamia2025

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
  4. Doctor Mama Amon

    PreGE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini, kulingana na maandiko ya Crusius na Channell (2015:13-15) hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: Kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), Kufanya ushawishi ili watu...
  5. H

    Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  6. ricochetmarcus

    KERO Kata za Kikio na Misughaa, mnara wa TTCL unatumia mitambo ya umeme wa jua nakupelekea usiku mawasiliano kukata

    Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida. Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu. Ni zaidi ya kero...
  7. R

    KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  8. C

    KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  9. Pantomath

    Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
  10. Mr Why

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  11. R

    Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

    Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika. Kina kitu kibaya anakilenga. 1. Mara tutatawala milele 2. Mara tutawashughulikia 3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa 4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii Senile imbecile imeshamtembelea Hata hao mnaowategemea kukulindeni...
  12. A

    KERO Kero ya Maji Lukobe - Morogoro

    Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro. Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu kwasababu Morogoro ni mkoa ambao una vyanzo vingi sana vya maji, lakini wananchi wa manispaa ya Morogoro...
  13. chiembe

    Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  14. L

    KERO Barabara kutoka Pasua - Mahembe inaendelea kuharibika, tunaoitegemea inaweza kutuathiri

    Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha changamoto kwa Watumiaji wa barabara hiyo. Licha ya kuwa barabara hiyo inatumiwa na magari ya...
  15. K

    KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  16. J

    KERO Mfumo wa OLAMS unagoma

    Mfumo wa OLAMS ukiweka verification number kutoka RITA inagoma kabisa. Shida ni ipi!!?
  17. M

    KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Umeme Kila siku unakatika katika ndani ya muda mfupi na wakati mwingine kukatwa kwa muda mrefu kwa maelekezo...
  18. M

    KERO Miaka Saba nasubiri Namba ya Kitambulisho cha NIDA

    Niende moja kwa moja kwenye jambo ambalo limekuwa changamoto na kero kwa Watanzania walio wengi. Kero yangu naipeleka kwa mamlaka inayohusika na kutoa vitambulisho vya taifa (NIDA). Kuna baadhi ya watu wamekosea taarifa kama vile alama za vidole kuingiliana, na mwishowe wamekosa namba. Mtu...
  19. Manyanza

    Maisha yakiwa rahisi sana hugeuka kero

    Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya starehe sana muda wote kwa sababu anakuwa anaishi maisha rahisi sana hivyo atalazimika kuishia...
  20. A

    KERO Kero ya usafiri wa Daladala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro

    Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha usumbufu kwa abiria na wasafiri wanaotoka na kuingia wilayani rombo.... Ninaomba mamlaka husika...
Back
Top Bottom