kero

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondokana na hii kero ya madereva wa malori kutekwa au kuuawa nchini DR Congo?

    Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori. Je, nini kifanyike...
  2. mamsindo

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Kitongoji cha Kiharaka kata ya Mapinga, Bagamoyo

    Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa kukatikakatika kwa umeme katika kitongoji chao cha Kiharaka sambamba na shida ya kupata umeme mdogo(low Voltage)...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waziri wa 'Vijana' atazunguka nchi nzima kusikiliza kero za Vijana?

    Waziri Nanauka anaonekana na msafara wake anazunguka vijiweni, Stendi kusikiliza kero za Vijana. Je huu utaratibu utachukua muda gani ili kupata maoni ya vijana kwa nchi nzima?
  6. lugoda12

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji

    "INGEKUWA"kama wewe ni Rais wa JMT ungechukua hatua gani kwa Mkurugenzi wa DAWASA kutopatikana kwa maji katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam?
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Vijana waachane na Nanauka, kama anahitaji kusikia kero za Genz asubiri D9 Mambo yote yatawekwa hadharani

    GT Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda. Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya GUYS GUYS..... Kama serikali haijui mahitaji ya vijana wasubiri D9 kwenye tamko rasmi maana hadi...
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinakera na kuudhi kama...

    Mtu kukukuta umekaa kwa utulivu, umeweka headphones zako masikioni, unafanya mambo yako halafu akaanza kukuongelesha upuuzi tu. Hasa huku makazini, siyo lazima kila wakati tusemeshane. Kama unataka kutongoza mwanamke au mdada unataka kumbebisha mwanaume, mtafute nje ya eneo la kazi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barabara kujengwa pembeni ya nyumba imekuwa kero, hakuna tena amani, utulivu na maisha ya kawaida tuliyoyaishi

    Barabara imekuwa bize, magari mengi yanapita, ni kelele zisiozisha na mitetemo isiyokoma pale magari makubwa yanapopita, Kila nikirudi nyumbani kwa gari, lazima nipige simu mapema kuwa narudi. Nikichelewa kidogo tu, geti halijafunguliwa na tayari magari yamejazana barabarani, hakuna pa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania KERO Jumbe nyingi za “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025” kila siku!

    Habari za asubuhi ndugu zangu! Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu: ‎ ‎“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.” ‎ ‎Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa media kutoripoti kero za wasafiri wa Mwendokasi, lakini media zote zimeripoti mabasi mapya UDART

    Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga? Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums. Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
  13. Vien

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi hili mkalitazame limekua kero kwa muda mrefu sana

    Habari wakuu wote nawasalimu Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na 1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

    Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k. Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
  15. Insidious

    JamiiForums Tanzania Kero ya rundo la takataka za chupa zilizotumika Tabata Kimanga

    Kwa mamlaka husika, Afisa mazingira na NEMC Naomba kuwasikisha malalamiko kuhusu mkusanyiko wa chupa za plastiki zilizotumika, kama inavyoonekana kwenye picha iliyoambatishwa. Eneo hili lipo Tabata Kimanga opposite ofisi ya serikali ya mtaa na pia karibu na sheli ya ATN na hali hii...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kiteto: Walimu waliohamishwa Januari 2024 hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu

    Walimu waliohamishwa tangu Januari 2024 Wilayani Kiteto hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu, tunaomba mamlaka iingilie kati.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katavi: Askari mgambo kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Mpimbwe wamekuwa ni kero kubwa

    Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
  19. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

    Wakuu, mambo salama!? Kazi ndiyo utu, hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo. Kuna suala ambalo siku ya juzi (Jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi, na nikaamua kulidodosa kimtindo fulani. Then I realized, it is true. Nilikuwa jijini for almost a week kwa shughuli zangu tu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Malori ya kampuni za Mt. Meru Depot, HASS, Afroil na W. Oil T2 yamekuwa yakipaki barabarani eneo la Kigamboni yakisubiri kupakia mafuta

    Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi uliopita lakini bado hali haijabadilika. Tunafahamu wapo waliochangia chama, lakini tunaomba mamlaka...
Back
Top Bottom