Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kerokero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.
Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
Ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye Ushirika wa Korosho,Mtwara Masasi Union Co operative(Mamcu).
Kulipana Posho na Safari za nje
Viongozi wamekuwa walipwa posho bila kufanya kazi(Hewa] na Kutengeneza safari za nje ambazo hazina tija kwa ushirika Mfano Mwaka jana na mwaka huu wamefanya safari...
Anonymous (f012)
Thread
barabara
goba
kerokero ya barabara
ufisadi wa ushirika wa korosho[mamcu]
Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi.
Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii.
Kila tukifuatilia kupata...
Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025.
Baada ya usajili, tulianza kufundisha kwa wiki kadhaa, tukibeba jukumu la kuhakikisha wanafunzi wapya...
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Nsimbo. Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu utekelezaji wa mfumo wa ESS (Employee Self Service) ambao ulianzishwa kwa lengo la kurahisisha na kuboresha huduma za kiutumishi kama maombi ya likizo, ruhusa, na uhamisho.
Lengo la Mfumo wa ESSMfumo wa ESS...
Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie
Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao tukipata ujauzito hua baadhi yetu tunakua na changamoto za kiafya kutokana na mimba tulizo nazo ambapo...
HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa.
Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
Mimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza.
Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika Halmashauri toka mwezi wa 9/2025, lakini mpaka sasa kinaendelea kuzuiliwa na Mkurugenzi.
Nimefanya...
Msaada tutani , upande wa Tausi watu wa ILALA , Nimekusanya document zote zinazotakiwa kwa usahihi wame-reject. Sasa kwa wiki 2 na wamekuja na kisingizio kuwa sisi sio raia wa Tanzania.
Tume-operate kampuni hii zaidi ya miaka 10 na tumesoma na kukulia Tanzania, na tumeamua kufanya shughuli zetu...
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara.
Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
changamoto
hii
kero
kuanzia
kupandisha
lami
mwisho
ofisi
sana
wakazi
Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.
Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha.
Tafadhali uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo utusaidie kuboresha mazingira haya ya shule.
Anonymous
Thread
kero
msingi
shule
shule ya msingi
wilaya
wilaya ya kilolo
Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
Habar ndugu zangu....
Kunachangamoto na hatari kwa sisi ma wakala wakati wakutuma pesa Airtel kwenda kwa wakala mkuu, hawaonyesh jina mpaka pesa iende ndio jina linakuja, kwa utaratibu huu mliounzisha Airtel n hatari sana kwa sisi mawakala kupoteza pesa.
Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya.
Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi?
Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke wake unatoa harufu mbaya na pia kinywa chake kichafu unashindwa hata kumla denda.
Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila mkazi wa Tabata – Kimanga, Dar es Salaa. Kwanza ya yote nawashukuruni sana sana JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kutusaidia kutatua kero mbalimbali zilizopo hapa nchini kwetu Tanzania.
Mimi kero yangu ni Sungusungu / Police jamii wanaolinda usiku...
Mimi ni Mwananchi wa Wilaya ya Mbeya Vijijini nina kero ambayo inatutesa sana Wananchi wa Wilaya hii.
Kero kubwa iliyopo kati ya kero zingine ni ubovu wa Barabara ya kutokea Mbalizi hadi Iwiji ambapo inapita Isangati, Santilya, Ilembo, Shigamba hadi Iwiji, kisha inaunganisha Mbeya Vijijini na...
Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini.
Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO).
Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
Anonymous (9bb1)
Thread
dhuluma
kampuni
kazi
kerokero ya umeme
sheria
shirika
shirika la umeme
stahiki
umeme
umeme zanzibar
unyanyasaji
zanzibar
Habar wandugu.....
Pemben na ofisi yangu imeanzishwa biashara ya kuchoma nyama na chips, naomben njia ya kukwepana na kero ya mosh kutoka kwenye majiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.