mtanganyikaJr
Member
- Jan 15, 2017
- 7
- 1
Habari wanajikwaa
Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano wanachukua ushuru hadi maeneo ambayo sio rasmi kama soko la kwa limboa ambalo kimsingi wafanya biashara hulipa ushuru mungine wa pango kwa mmiliki wa eneo kila siku.
Swala linalo umiza huu ushuru tunakatiwa kila siku na Halmashauri unafanya kazi gani wakati mazingira ni duni na hata usafi haufanyiki
Ahsante.