Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph Nzowa, amesema hayo Julai 28, 2025 wakati wa ufungaji wa mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata wapya, kutoka mikoa ya Arusha, Tanga, Manyara na Kilimanjaro yakiwa na lengo la kuongeza ufanisi katika ngazi ya kata na tarafa
Chanzo: ITV DIGITAL