Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam.
Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine.
Ukienda mbele kwenye...
Anonymous (f836)
Thread
barabarani
dar
faini
kero
kupiga
sana
trafiki
wengi
Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu.
kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
Anonymous
Thread
barabara
iringa
kerokero ya barabara
mkoa
wakazi
wilaya
wilaya ya kilolo
Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule.
Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
Anonymous
Thread
habari
katika
kero
kigoma
kijiji
mkoani
msingi
shule
shule ya msingi
wilaya
Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada ya siku mbili.
Wacomoro huja kwetu Tanzania kwa matibabu na kuchukua bidhaa za biashara, leo mtu...
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
Shule ya Sekondari Tarakea Iliyopo Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro ilikuwa ni moja ya shule bora sana, ilikuwa na ufaulu mzuri. Hivi karibuni imebadilisha uongozi, kumekuwa na tabia ya kuwapa adhabu Wanafunzi ovyo.
Mwalimu Mkuu amekuwa na majibu ya ovyo kwa Wazazi, Wanafunzi mpaka kwa Walimu...
Habari,
Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.
Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya...
Anonymous (ba44)
Thread
bodi
huduma
iringa
kero
kuhusu
maktaba
mkoa
tanzania
yangu
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kerokero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.
Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
Ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye Ushirika wa Korosho,Mtwara Masasi Union Co operative(Mamcu).
Kulipana Posho na Safari za nje
Viongozi wamekuwa walipwa posho bila kufanya kazi(Hewa] na Kutengeneza safari za nje ambazo hazina tija kwa ushirika Mfano Mwaka jana na mwaka huu wamefanya safari...
Anonymous (f012)
Thread
barabara
goba
kerokero ya barabara
ufisadi wa ushirika wa korosho[mamcu]
Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi.
Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii.
Kila tukifuatilia kupata...
Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025.
Baada ya usajili, tulianza kufundisha kwa wiki kadhaa, tukibeba jukumu la kuhakikisha wanafunzi wapya...
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Nsimbo. Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu utekelezaji wa mfumo wa ESS (Employee Self Service) ambao ulianzishwa kwa lengo la kurahisisha na kuboresha huduma za kiutumishi kama maombi ya likizo, ruhusa, na uhamisho.
Lengo la Mfumo wa ESSMfumo wa ESS...
Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie
Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao tukipata ujauzito hua baadhi yetu tunakua na changamoto za kiafya kutokana na mimba tulizo nazo ambapo...
HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa.
Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
Mimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza.
Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika Halmashauri toka mwezi wa 9/2025, lakini mpaka sasa kinaendelea kuzuiliwa na Mkurugenzi.
Nimefanya...
Msaada tutani , upande wa Tausi watu wa ILALA , Nimekusanya document zote zinazotakiwa kwa usahihi wame-reject. Sasa kwa wiki 2 na wamekuja na kisingizio kuwa sisi sio raia wa Tanzania.
Tume-operate kampuni hii zaidi ya miaka 10 na tumesoma na kukulia Tanzania, na tumeamua kufanya shughuli zetu...
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara.
Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
changamoto
hii
kero
kuanzia
kupandisha
lami
mwisho
ofisi
sana
wakazi
Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.
Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha.
Tafadhali uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo utusaidie kuboresha mazingira haya ya shule.
Anonymous
Thread
kero
msingi
shule
shule ya msingi
wilaya
wilaya ya kilolo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.