NSSF Ni kero kwa wanufaika

queen of the jungle

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
228
429
Jamani habarini kumekuwa na shida kwa baadhi ya maofisa wa NSSF kuingia ubia na waajili ya kutopeleka michango kwa wakati matokeo yake wanaoumia ni wanufaika huku mchangiaji akikosa haki zake za msingi

Kitendo hiki ni cha kinyama mfano mtu unatakiwa kupewa fao lako la uzazi lkn haki hii huwezi kuipata kwa sababu michango yako hujawekewa

Tunaomba mamlaka husika iweze kutusaidia
 
Mzee fanya yako, ukiwazia mifuko ya ifadhi ya jamii hapa nchini corona inaweza kwenda na wewe!
 
Nssf ni janga kuu zaidi ya nzige wa jangwani.
Nilienda kutibiwa hospitali x nusu nifie mlangoni Kisa mwajili hajapeleka mchango kwa miezi mitatu na ukizingatia mishahara hatujapata tangu corona ianze.
Kilicho ni kera kule nssf kuna ukwasi zaidi ya 15m Lakini sikupata matibabu
 
Back
Top Bottom