kero

  1. JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

    Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates. A machinga is a small trader of no fixed abode. Machinga angeweza...
  2. JamiiForums Tanzania Msafara wa kiongozi wa serikali wawa kero Singida

    Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu. Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka. Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa magari Mbeya umeanza kuleta kero

    Kufuatia agizo la IGP la ukaguzi wa magari nchi nzima ambayo ni nia njema tu limegeuka kero kwa wasafiri mbalimbali hapa mkoani Mbeya. Sijajua mikoa mingine lakini hili zoezi ni kama halikuandaliwa mazingira mazuri ya kukagua ili kutoathili usafiri. Mfano, abiria wameshapanda ndani ya gari...
  4. JamiiForums Tanzania Kero za askari wa usalama barabarani: Utaratibu wa kutoza adhabu barabarani uangaliwe upya

    Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza. Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama. Pamoja na nia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Samaki sio wa kuokota Kama senene/ kumbikumbi

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana Pengine hata shilingi mia moja...
  6. JamiiForums Tanzania Kuchati kwenye simu wakati mmetoka 'out' na mtu ni kero

    Habari gani watu wa nguvu..! Poleni kwa Majukumu ya siku nzima na kwa wale walioingia kazini usiku huu, Majukumu mema. Acha niende kwenye maada, katika karne hii ya 21 kuna mambo memgi yamejitokeza, Mengi mazuri na Mabaya machache. Moja ya mambo yaliyokuja kwenye karne hii ya 21, ni pamoja...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kero ya usafiri wa daladala Mloganzila

    Habarini wadau wote wa humu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia. Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi...
  8. JamiiForums Tanzania Umeme wa TANESCO umekuwa kero katika wilaya ya Masasi

    Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme. Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Tasac nao haupatikani wiki ya pili sasa. Kuna kipi kinaendelea?

    Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo. Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?! Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa. Inakwaza sana!
  10. JamiiForums Tanzania Nini matatizo sugu ya mkoa wa Dar es Salaam?

    Sisi wakazi wa mkoa huu wa Darisalama na wageni wetu hebu tuorodheshe kero sugu zinazoukumba mkoa wetu huu ili kuwasaidia watatua kero wazisikie na kuzifanyia kazi. Kwa kuwa hawawezi kufika ktk kila kona basi mimi na wewe ndio wawakilishi wazuri kuziorodhesha kero zetu. 1.Malori kuingia mtaani...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Unashauri njia gani sahihi kupita kati ya hizi tatu zenye kero?

    Mwendo ni mrefu na inatakiwa upite kila siku njia hiyo hiyo: kutoka Mji (A ) kwenda kula JIJI (B). Zingatia; (Hairuhusiwi kwenda kwa miguu, pikipiki wala bajaji) (Njia ya kwanza ni Lami yenye Foleni): Kutoka sehemu (A) kwenda (B) kuna barabara ya lami, lakini imejaa magari mengi na inafoleni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi njoo Tanga utatue kero za Urasimishaji mashamba na viwanja unaofanywa na H/ya wilaya ya Muheza na Mkandarasi aitwaye MAKAZI SOLUTIONS

    Huu ni mradi wa urasimishaji wa mashamba na viwanja katika Wilaya ya Muheza. Mkandarasi niMakazi Solutions. Ni katika yaliyokuwa mashamba ya Geiglizi na wawekezaji wengine wa Kizungu tanga ukoloni. Kero baadhi 1. Mradi kutokamilika 2. Ahadi za kutoa hati zisizotekelewa 3. Malipo yasiyo na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi. Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
  14. JamiiForums Tanzania TASAC yafuta tozo saba zilizokuwa kero, yawezesha unafuu bandarini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika kipindi cha miaka minne limefanikiwa kufuta tozo saba nyanyaso zilizokuwa ni kero kwa wadau katika sekta ya maji, hivyo kuleta unafuu wa utoaji wa mizigo bandarini. Mafanikio hayo ya TASAC yametangazwa leo jijini Dar es Salaam na Afisa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya upimaji wa COVID-19 Airport ni kero. Gharama sijui unafanya kazi gani?

    Tanzania tunatia aibu, nimesafiri kwenda nje nikapimwa na kupewa certificate na kulipa pesa. Baada ya kufika nje nilionyesha certificate wakagonga muhuri nikaendelea na shughuli zangu. Baada ya kumaliza pilika pilika nikapima kule nje baada ya kufika Dar eti wanalazimisha kupima tena...
  16. JamiiForums Tanzania Kero mtandao wa Airtel

    As/aleikum____bwana asifiwe
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku. Ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana. Kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Parking mbele ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni kero

    Kwa watumiaji wa Barabara ya Kawawa jijini Dar es Salaam nadhani mnanielewa, huwa mnaona pale ukiwa unatoka Machinga Complex kuelekea Magomeni shughuli yake ilivyo. Baada ya kuvuka mataa, unakutana na kituo cha daladala na parking iliyo saturated all the time iliyopo mbele ya ofisi ya mkuu wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Suleiman Jafo, Kanisa la Askofu Gwajima ni kero kwa wananchi waishio Mazizini Ukonga, Dar es Salaam

    Sisi wananchi tuishio mazizini Ukonga, tunaomba msaada wako kwa sababu ya mitetemo na vipaza sauti, hili kanisa limejengwa makazi ya watu. Ibada zao zipo siku ya Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2:30 hadi saa 3 usiku, Jumapili saa 2 asubuhi mpaka saa 9. Na Kila siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…