Msafara wa kiongozi wa serikali wawa kero Singida

abackuk

Senior Member
Jan 6, 2014
193
187
Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu. Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka. Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa
 
Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu.Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka.Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa
Du kweli viongozi wetu wana jeuri. Halafu utakuta anachofanya cha maana hakuna. Haya majitu yako kama mafisi kabisa. Ila wananchi nao tumezidi kuwa wapole ndiyo maana ujinga kama huu unafanyika.
 
Haya ndio matumizi mabaya ya walipa kodi
Kwa nini watawala wa Africa wanajiona miungu watu?
Safari za kuungaunga hizi zinakera zinaudhi
Magari mawili yanatosha
Magari 20 ya nini yote haya halafu kila gari watu wawili
Badilikeni watawala mnawaumiza wananchi ziara nyingi mno zisizo na tija
Kila siku teua tengua ziara nonsense
 
Mkuu ukiteuliwa wewe itakuwa Nonsense?
 
Back
Top Bottom