Suleiman Jafo, Kanisa la Askofu Gwajima ni kero kwa wananchi waishio Mazizini Ukonga, Dar es Salaam

Jaburu

New Member
May 2, 2021
1
4
Sisi wananchi tuishio mazizini Ukonga, tunaomba msaada wako kwa sababu ya mitetemo na vipaza sauti, hili kanisa limejengwa makazi ya watu. Ibada zao zipo siku ya Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2:30 hadi saa 3 usiku, Jumapili saa 2 asubuhi mpaka saa 9.

Na Kila siku ni mkesha kuanzia saa tano mpaka saa nane hadi Tisa usiku. Hili swala tumeripoti serikali za mitaa. Lakini mwenyekiti wa serikali za mitaa amekiri kushindwa hili swala. Docoment tunazo. TUmepeleka kata ukonga na kwa mkurugenzi Ilala. Number za NEMC tulipewa 0737796252.

Kila tukiwapigia wanasema wanakuja, lakini hawatokei. Karibia mwaka tumeangaika Huku na Huku lakini hakuna utatuzi wa hili swala. Hapa tuna watoto, Kuna wazee, wanafunzi, kuna wagonjwa, wanahitaji kupumzika, wapangaji wanatukimbia kwa kero za sauti, tunawasilisha kwako tuna imani utatusaidi.

Majirani waishio na kanisa
 
mapepo yamekupanda tayari hapo sio wewe unaandika.
 
Mkome kuichagua CCM, hamna mtetezi
 
Umoja ni nguvu km serikali imeshindwa he nguvu ya imma nayomimeshindwa.hv sisi watz Nani ameturooga Kila siku ni kulalamika tu tumekuwa waoga Sana .kutumia nguvu ya umma kwann tunashindwa..tuache ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom