kero

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri waliostaafu na kuajiriwa kwa mikataba ni kero vyuoni

    Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Amos Makalla kwa kazi nzuri, kikao chako leo hukutukana mtu, hukumkebei mtu, hukumdhalilisha mtu, hukuonyesha ubabe wala majigambo

    Nilikuwa nikimfuatalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Amos leo kupitia tv, kwangu nimemfananisha mkuu huyo na wale watumishi wa Mungu wachungaji wa zamani wakitatua matatizo au migogolo ya wahumini wake. Amekuwa veri hambo sana. Tofauti na aliyewai kuwa mkuu wa mkoa huo ambaye nadhani hatokuja...
  3. Bururu

    JamiiForums Tanzania Kero: Mkuyuni Morogoro vijijini hakuna umeme

    Morogoro kijiji cha Mkuyuni hakuna umeme wiki mbili sasa, ni shida kwa wafanyabiashara.
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshaji wa miamala ulioletwa na tozo ni kero

    Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao. Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ferry - Kigamboni: Weka hapa Kero, Ushauri na malalamiko yako

    Zamani enzi zetu tukisoma pale ferru tulivuka kwa shilingi 20 tu kutumia mitumbwi. Serikali ikaleta MV Magogoni na baadae Mv Kazi na mv Kigamboni. Hivi vivuko Kigamboni kina injini 4 lakini mara nyingi wanawasha mbili tu na kufanya kutumie dakika 20 ndani ya maji. Kero: wameleta mfumo wa...
  7. maroon7

    JamiiForums Tanzania Traffic Lights Bagamoyo Road nyingi sana mpaka kero

    Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Iramba apongeza utengaji wa maeneo ya uwekezaji

    MHE MWENDA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO, APONGEZA UTENGAJI WA MAENEO YA UWEKEZAJI Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameupongeza uongozi wa kata ya Ulemo kwa kutenga maeneo ya uwekezaji. Mhe Mwenda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya...
  9. Saoka

    JamiiForums Tanzania Naombeni usahauri nifanye nini kujikwamua kimaisha, najihisi kuwa kero kwa wazazi

    Habari ndugu zangu wa huku wakubwa kwa wadogo, kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25, pia nimuhitimu wa chuo kikuu fulani fani ni usimamizi na uongozi(Public administration and Management) Diploma (2019) pamoja na Computer Application. Nimekuja...
  10. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda atoa majibu ya kero tano (5) nzito Wilayani Iramba, Singida

    ZIARA YA MHE MWENDA YATOA MAJIBU YA KERO 5 NZITO IRAMBA Akiwa siku yake ya pili ya ziara ya kuendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata ya Kiomboi, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda alipokea changamoto ya maji ambayo Mwakilishi wa Meneja wa RUWASA akatoa...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Iramba: DC Mwenda ataka mpango mkakati wa kutekeleza majukumu, akaza kamba kero za Wananchi

    MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI. Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Halmashauri zibuni vyanzo vipya vya mapato bila kuwakera wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa wananchi. Akizungumza leo na...
  14. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Waendesha bodaboda mnakera kulazimisha watu kupanda pikipiki zenu

    Kwema ndugu zangu, Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini. Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi. Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au? Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
  16. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
  17. bestboy

    JamiiForums Tanzania Kero ya Foleni Mbagala, viongozi mpo wapi?

    Niende moja kwa moja katika hoja ya msingi. Leo nikiwa natokea maeneo ya kijichi majira ya saa mbili usiku, nimeshangaa sana kuchukua zaidi ya masaa mawili bila ya kufika mtongani. Yes naelewa ujenzi wa barabara unaoendelea lakini bado sitaki kuamini kwamba inaweza kuwa sababu ya kuwaweka watu...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

    Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania TARURA Halmashauri ya Mji wa Kibaha mnakera

    Wadau habari za mchana wa leo Naandika UZI huu kwa masikitiko makubwa sanaaa kwa kile nilichojionea na kukumbana nacho wakati nimepita njia ya Kutoka picha yq Ndege kwenda Boko kupitia kata ya SOFU. TARURA Kibaha TC tambueni pembezoni mwa barabara hii kuna makazi ya watu, mmeichonga barabara...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

    Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...
Back
Top Bottom