Parking mbele ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni kero

Ntopo Kilebente

Senior Member
Apr 3, 2021
191
246
Kwa watumiaji wa Barabara ya Kawawa jijini Dar es Salaam nadhani mnanielewa, huwa mnaona pale ukiwa unatoka Machinga Complex kuelekea Magomeni shughuli yake ilivyo.

Baada ya kuvuka mataa, unakutana na kituo cha daladala na parking iliyo saturated all the time iliyopo mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa. Huwa najiuliza hivi mamlaka za mkoa wa Dar es Salaam na zile ofisi zao pale Boma huwa wanaliona suala la magari yanayopaki pale nje kwenye njia ya waenda kwa miguu?
 
Back
Top Bottom