Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku.

Ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana.

Kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi.

Tunakupenda sana

Asante sana

Mitano tena✋

1621507675128.png

Wapo wasaidizi wake huku chini na ana waamini pia
Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,

ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,

kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi

tunakupenda sana

asante sana

mitano tena
 
Acha ujinga wa kujiita mnyonge wewe, shwain!
 
mitano tena✋
Kumbe wanyonge bado mpo tu mpaka kwenye awamu hii ya sita! Ni lini mtakubali kutoka kwenye huo unyonge wenu? Au huo unyonge kwenu ni mtaji?
 
Ila mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu
 
Tatizo tumekariri kwamba changamoto ni huku chini tu vijijini, Inamaana kwako wale wafanya biashara waliokwama mpakani na mahindi yao sio changamoto?
 
Alikuwa makamu wa Rais kwa miaka mitano na waziri kwa zaidi ya miaka 5 anafahamu changamoto zote za wananchi. Kama una changamoto muone mwenyekiti wako wa kijiji, akishindwa kukusaidia nenda kwa diwani kisha kwa mkurugenzi wa halmashauri kisha kwa mkuu wa wilaya, mkoa, waziri husika,waziri mkuu na ikishindikana huko kote ndio uanze kumlilia Rais.

Back
Top Bottom