kero

  1. JamiiForums Tanzania NEMC: Tunachunguza madai ya Baa ya Ellis kuwa imekuwa kero kwa majirani kutokana na kelele za muziki

    Baada ya Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika baa maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, kuwa inapiga kupiga mziki mkubwa hadi asubuhi hali ambayo ni kero kubwa kwetu, Mamlaka husika imezungumzia suala hilo: Kusoma hoja...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Wakuu, Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami kinachoonekana hapo mwisho kwenye video ndio kinashuka na kupita ilipo supermarket ya Shopaz. Sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umefanikiwa kuwa Rais wa Tz. Ni maswala yapi matano ungehakikisha ndani ya miaka 10 hayatakuwa tena kero kwa asilimia kubwa wananchi wako.

    KARIBUNI:
  5. JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kero za nchi yetu (Tanzania) tuziondoe namna hii

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi kubwa(kwa eneo na idadi ya watu) barani Afrika.Ni nchi iliyojaliwa rasilimali nyingi na za kutosha,imejaliwa kuwa na watu wenye akili na vipaji.Aidha Tanzania ni kisiwa cha amani.Pamoja na utajiri huo ,bado nchi yetu inachangamoto lukuki.Umasikini,ukosefu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya kimfumo na kiteknolojia yanahitajika katika Wizara ya Ardhi ili kukabiliana na kero za ardhi

    Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika mipaka yao wanapaswa kutambua madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo hawatatilia mkazo juu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Acha Unafiki ni Nguvu Kazi ipi unayoitetea hapa wakati walipokulilia na Kodi Kero na Kodi Komoa zako uliwajibu Kidharau wahame wakaishi Burundi?

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema jinamizi la ajali nchini limezidi kuwa kero huku kutofuata sheria akitaja mojawapo wa chanzo kikuu, huku akiwataka maofisa usalama barabarani kutoangalia namba za gari ni la Serikali au binafsi sheria itumike sawa kwa wote. “Madhara yake tunapoteza...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Gesi uliopo Ubungo Interchange unavuja na kuleta kero kwa Wanafunzi Chuo cha Maji

    Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu. Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili
  10. JamiiForums Tanzania Airlink ni kero

    1. Hawa jamaa mbali na nauli zao kuwa kubwa (mimi nililipa R15,525 Dar-Johannesburg-Cape town). 2. Luggage allowance Ni 20kg tu (tofaut na mashirika mengine Ni 23kgs x 2). 3. Huduma zao mbovu kwenye ndege zao kuanzia misosi, wahudumu (wabaguzi-ukiwa ngozi nyeusi jiandae kunyaliwa) wanakuja Dar...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Malela, Tuangoma (Kigamboni) tunaishi kwa mashaka sasa

    Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe? Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa! Muda wote mlikuwa wapi kuzuia watu wasijenge kwenye hayo maeneo? Naomba serikali iangalie kwa jicho la pekee wananchi wake...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Atengeneza Mfumo wa Kidigitali wa Wenyeviti wa Mitaa Kuwasilisha Kero za Wananchi

    MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka - Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu Mbunge wa Jimbo...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya kukatika maji Kawe Ukwamani

    Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na uchafu huku wahusika wakikaa kimya na viongozi wa serikali ya mtaa kutoshughulika na kero hii...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usafirishaji ovyo wa taka usiozingatia kanuni za kiafya unachafua mazingira na kuhatarisha afya za wananchi

    Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani. Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa hiyo watu wanateseka sana na harufu kali. Kwa hiyo ningeshauri manisipaa kufanya utaratibu wa jinsi...
  15. JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka na Kheri James waipinga style anayotumia Makonda ya kusikiliza kero kwa kuzungukwa na media

    Anthony Mtaka: "Hawa Ma-DC wanafanya kazi kubwa kutatua kero, ni vile hawana ma TV tu." Kheri James: "Tutenge muda wa kutatua kero na si kusikiliza kero"
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Inaonekana Baadhi ya IP Addresses zinazotolewa na mtandao wa Tigo na Airtel zipo blacklisted (zina low reputation)

    Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites zangu mwenyewe kuanza kutopatikana kwa users walokuwa wanatumia mtandao wa Tigo na Airtel, ivyo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gari la taka ni changamoto siku ya tano leo

    Kumekuwa na kero kubwa katika mitaa ya Ubungo NHC, halmashauri imeshindwa kuleta gari la taka kwa wakati Leo ni siku ya 5 taka zipo na hakuna juhudi zozote na maeneo taka yalipo ni karibu na makazi ya watu, tunaomba halmashauri ifanyie haraka hii maana kipindupindu bado hakijatuacha
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye utatuzi wa kero na changamoto za wananchi serikali itumie hili wazo linaweza kuwasaidia

    Serikali inaweza kutumia wazo hili katika kuwafikia wananchi kirahisi na kutatua kero na changamoto zinazowakabili Watanzania MAMA ANAKUITA" call Center PROJECT PROPOSAL (Njoo Tuseme kwa mama, Piga no …… utete na Bi. Mkubwa) “Mama anakuita call Center” ni namba mahususi ya simu itakayotumiwa na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali lifungieni jengo la Walimu(Mwalimu House) halikidhi viwango. Vyoo vyote vibovu, Lifti haifanyi kazi mwaka wa 5 huu

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naiomba serikali kupitia vitengo vyake vya kusimamia majengo nchini kulifungia haraka sana hilo jengo linahatarisha maisha ya mwanaadamu. Jengo la ghorofa 8 ni mwaka wa 5 sasaivi lifti yake haifanyi kazi sisi kama wapangaji tunapata tabu sana. Nijuavyo mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…