Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Muungano wa Azimo la Umoja nchini, Kenya umemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo (IGP), Japhet Koome kumtaarifu kuhusu kufanya maandamano na maombi ya Kitaifa.
Barua hiyo iliyosainiwa na mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Azimio la Umoja, Dk Wycliffe Oparanya imeandikwa leo...
Mamlaka ya Mawasiano ya Kenya (CA) imetoa tishio hilo kwa vituo 6 vya runinga kwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya #Maandamano hayo ya Machi 20, 2023 yaliyolenga kuipinga Serikali yakiratibiwa na kiongozi wa Azimio La Umoja Coalition, Raila Odinga.
CA imevitaja vituo hivyo kuwa ni Citizen...
Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa.
Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti.
"Maafisa wakuu...
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji.
Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake.
Ukipitia twakimu kwa miaka...
Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe.
Ila baada ya ishu ya Trump kuimaliza tunashuka Nairobi. Ole wake Raila na genge lake waitishe tena fujo tutatembeza mkong'oto wa aina...
Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi.
Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI
Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi
Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
Mlipuko wa Arab Spring ilianza kama masikhara nchini Tunisia baada kijana mmoja mhitimu wa Chuo Kikuu aliyekosa kazi na kuamua kuuza matunda kwa kutumia toroli mitaani. Lakini alipokatiza mbele ya ofisi za Serikali kuuza matunda alizuiwa na kuadhibiwa kuwa anachafua mwonekano wa mtaa huo. Hasira...
Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo.
Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura.
Hey fellow East Africans, please remind Raila zodinga, that he is now irrelevant, he should pass on the political wand to a younger generation.
His kind of politics reminds me of the long extinct dinosaurs, and he is heading that way, fast.
Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia.
Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara.
Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi? Nimegoogle nimeambulia patupu.
MK254 Natanguliza shukrani.
William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano.
Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa tarehe 20, jumatatu ijayo, sababu ikiwa ni ugumu wa maisha, kuporwa kwa kura wakati wa uchaguzi...
Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu!!
Dogo ana nguvu, anafunga kwa miguu yote!! Imagine ameanza kucheza ligi kuu akiwa bado ni mwanafunzi wa...
Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua.
Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.