Sakata la Kenya Airways na Air Tanzania: Anayeathirika ni Air Tanzania

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Eti wanapiga stop Kenya Airways kwa jeuri gani wakati kila siku mko huko kujikomba? Msichokijua labda Kenya Airways ni mbia wa KLM-Air France kuizuia kutua Dar/Tanzania kunaathiri KLM-Air France pia, hivyo hakuna kitu hapo.

Kenya Airways itatua Dar na biti la Air Tanzania Kenya litabakia kwani anayeathirika na Air Tanzania cargo kutua Kenya ni KLM - Air France ndiyo wanaobeba maua na mboga mboga ktk Kenya kupeleka Amsterdam na ndiyo maana hata wakaingia ubia na Kenya Airways.

Hakuna kitu hapo biti litasimama na Kenya Airways itatua Tanzania, msisahahu Watanzania waliipeleka ndege yetu uholanzi makao makuu ya KLM ili ikamatwe na ikakamatwa.
 
Waeleze wenzako hadi waelewe mleta mada. KQ bab kubwa jombaa. 🇰🇪 Yaani wanadhani kupata 'route' zote hizi na vibali vya kutua kwenye miji yote hii, kote duniani ni rahisi kama kudensi dombolo au kwasakwasa?
Kenya_Airways_projected_route_network.png
Proudly Kenyan! 🇰🇪
 
We dogo baada ya hao jamaa zako kuufyata na kutoa ruhusa Atcl kutua na kuchukua mizogo Kenya haya sema sasa aliyeathitika na aliyenufaika ni nani?

We pimbi kweli wewe asee
Mkuu hawa ndio wanaoishi maisha ya kukalili,Dunia inabadilika,kwa tulipofikia Kenya hawezi akamwendesha Tanzania kama anavyotaka,Tz sio wanyonge la miaka hiyo,yani ni kama USA na China tu
 
Waeleze wenzako waelewe mleta mada. KQ bab kubwa jombaa. Yaani wanadhani kupata 'route' zote hizi na vibali vya kutua kwenye miji yote hii, kote duniani ni rahisi kama kudensi dombolo au kwasakwasa?
Kenya_Airways_projected_route_network.png
Proudly Kenyan!
Mmebana mmeachia,msharuhusu Atcl ziendelee na kazi hapo kwenu,hamuwezi mkatutishia kwa chochote,mwaga mboga nimwage ugali, proudly Tanzanian.
 
Mkuu hawa ndio wanaoishi maisha ya kukalili,Dunia inabadilika,kwa tulipofikia Kenya hawezi akamwendesha Tanzania kama anavyotaka,Tz sio wanyonge la miaka hiyo,yani ni kama USA na China tu
USA ni balaa lingine ana meli za kivita zinazurula tu huko baharini akiamua anaenda mpaka Taiwani huko...sasa hivi wanahangaika na Red Sea kama vile ipo USA haki zote wamejipa wao...
 
Eti wanapiga stop Kenya Airways kwa jeuri gani wakati kila siku mko huko kujikomba? Msichokijua labda Kenya Airways ni mbia wa KLM-Air France kuizuia kutua Dar/Tanzania kunaathiri KLM-Air France pia, hivyo hakuna kitu hapo.

Kenya Airways itatua Dar na biti la Air Tanzania Kenya litabakia kwani anayeathirika na Air Tanzania cargo kutua Kenya ni KLM - Air France ndiyo wanaobeba maua na mboga mboga ktk Kenya kupeleka Amsterdam na ndiyo maana hata wakaingia ubia na Kenya Airways.

Hakuna kitu hapo biti litasimama na Kenya Airways itatua Tanzania, msisahahu Watanzania waliipeleka ndege yetu uholanzi makao makuu ya KLM ili ikamatwe na ikakamatwa.

You're as dumb as a donut.
 
Little did you know ....
 
Mmebana mmeachia,msharuhusu Atcl ziendelee na kazi hapo kwenu,hamuwezi mkatutishia kwa chochote,mwaga mboga nimwage ugali, proudly Tanzanian.
Mlimwagaje Ugali jombaa, wakati sie tulikiuwa tushamaliza kula(...na bado tunaendelea kula hadi sasa hivi)? Marufuku yenu ya kimagumashi ilikuwa ianze tarehe 22. Jana tarehe 16, na tayari mlikuwa mmeachia, hata kabla masaa 24 hayajapita tangia mtangaze maamuzi yenu.
 
Tatizo huyu bibi chaudele anajikuta mwana diplomasia Sana ilibidi siku ile ile walivyo fungia dege la Atcl kutua kwao na huku wangezuiwa kutua, mjomba Magu alikua anacheza nao vizuri Sana, wale ngedere wanataka kutuzoea Sana shenzi zao, ni kwenda nao jino kwa jino alieua auwawe
 
Huu uzi una utoto mwingi na tambo za kipuuzi. Sio rahisi kama mnavyoongea masuala ya Diplomasia hayako kama mnavyofikiri. Wote tunahitajiana so ukinizuia nami nikakuzia wote tunapata hasara sio one way hii hakuna cha mkubwa wala mdogo hapa kila nchi inachakupoteza katika maslahi hivyo kutafuta suluhu ndio busara ya juu hakuna mshindi katika kutunishiana misuli kama baadhi ya mashabiki wanavotaka
 
Back
Top Bottom